Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Kama ni hivi basi usalama wa wale wengine ITV na Azam pia uko mashakani.
 
Watu Wengne Hvyo Vyeo Sijui Wanavipataga Kwa Vigezo Gani?
 
Ni mapema sana kwa vyombo vya usalama ku-conclude kuwa walikuwa wazungu. Watu wanaweza vaa masks au ngozi za kutengeneza wakaonekana wazungu.

Mimi naota tu je kule hazina kuna pesa ya kutosha kulipa salary za watumishi wa umma mwezi huu?

Tulipe kodi tafadhali kuiwezesha serikali kufanya shughuli zake
 
Mtetee tu,lakini technology iko very powerful,kuna niliyoisikia amesema "amepatikana na watuhumiwa wamekamatwa"

Labda kama ni vipande vilivyoungwa ungwa,lakini nimeiona kwa macho yangu!!
Umetumia concrete thinking badala ya abstract thinking.
 
Mara paaap movie inaanza[emoji22][emoji22] starling anafia kwenye maua, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] so sad
 
Mijitu ya matukio mmesha ingiza siasa, massive pathetic creatures walahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…