Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Hiyo ni kazi ya mikono ya Magu, ndo style yake ya kuongoza
 
Kwani ni mara ngapi polisi hawa hawa wamekuwa wakipindisha ukweli wa mambo?
 
Nakumbuka tulipata UHURU tarehe 9 December1961.Mjeda mmoja kwa jina NYERENDA akaweka mwenge kileleni mwa mlima Kilimanjaro umulike nchi nzima
Ilikuwa raha saana siku hiyo.
 
Duh...yani ni juzi tu nimeota huyu jamaa katekwa
Sasa sijui wajuzi wa mambo hii ina maana gani?
 
kama walivotuonyesha yule jambazi hendisammboi nahawa wasiojulikana pia watuonyeshe

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna silaha naiogipa kama silaha za jadi mapanga aiseeehhh kifo chake ni cha umbwa ,vibaka ni wa kuogopwa kuliko hawa koz hawa watekaji wanakuja na misaion moja kukubeka ukiwa mzima ukienda uko mkishandwana hapo ndiyo msala ...ila vibaka aiseeh
Pole sana Mkuu walishakuzukia?
mi nakumbuka Kipindi niko Chuo walichukua simu, viatu plus begi wakatokomea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…