Sio rahisi hivo hayo mambo..tena kwa mtu mzito kama DewjiZile tunazoona ktk movies za ki - Nigeria zinaweza anza kuwa practiced taratibu hapa....
Watu hali ngumu ya kifedha na kimaisha kwa ujumla, wanatafuta "shortcuts" za kujipatia fedha....
Wanawavizia wenye mkwanja watu sampuli ya hawa kina Dewji.....
Wanakuteka na kukuhifadhi sehemu....
Wanalazimisha mabadilishano ya uhai wako na ukwasi wenu.....
Most likely, hii ina sura ya namna hii.....
Hata hivyo wanaweza kufanikiwa kupata watakacho kama tu wamefunzwa mikakati ya kujipatia fedha kwa njia hiyo....
Vinginevyo, watanaswa tu na wasipate hata senti!!
Ni kweli ktk hii clip kasema amepatikanahivi hapa me nmesikia vibaya au sijaelewa? si imetamkwa "amepatikana" au masikio yangu mabovu
Chadema ndiyo wamepata kichaka cha kujificha.
Hutawaona wakiongelea mbunge wao akiuewakimbia Ukerewe
Kufunga maana yake si kuzidisha ukaguzi Na kuongeza ulinzi? Haimaanishi isiingie Ndege wala kutoka Ndege..
Mimi Yanga Dam bt i cn't support this kind of bullshit....[/QUO
Hili swala ni zaidi ya simba na yanga wahusika ni binadamu na watabaki kuwa binadamu wenye haki zote za msingi.
Hili ni movie LA ccmNinasikitika Mwekezaji Mkubwa nchi hii ametekwa. Ni tikisiko kwa uchumi na jamii kwa ujumba wale ambao wameajiriwa katika makampuni yake. Ninaamini familia iko imara katika kuhakikisha hakuna kitakachoenda vibaya katika makampuni kwa kuwa MD hayupo. Huu ndiyo uzuri wa wenzetu wenye ngozi nyeupe kwa kuwa succession plan iko vizuri. Cha kusikitisha ni kwamba huyu ni tajiri mkubwa sana nchini na alitakiwa awe na ulinzi binafsi kabisa kama ule wa viongozi wetu. Yaani MO anashindwa na celebrities kama Chibu wenye mabauza na walinzi wa nguvu. Yeye MO alitakiwa kabisa awe na gari la walinzi wakati wote mchana awapo kazini na usiku pia na nyumbani ndiyo usiseme. Pia gari yake nayo inatakiwa iwe na vifaa vya usalama n.k. Hapa kuna uzembe mkubwa na pengine alijiamini sana kitu ambacho kwa dunia ya sasa si rafiki tena kwa kuwa wenye wivu wapo, washindani wapo kwa upande wa biashara, na wenye roho mbaya tu wapo.
Mungu epusha mabaya yote kwa Mwekezaji huyu hodari Tanzania.
je unafkiri ilitokea kwa baatimbaya?Nimemsikiliza Makonda vizuri kwenye ile clip hakuna sehemu kasema kuwa Mo kapatikana..Waandishi wa habari na wenyewe wasipende kushindana kupost taarifa kwa uharaka tena taarifa kubwa kama hizi..
Kabisaahahaha kwahiyo huku sipaswi kuwepo ""?
"Matajiri wataishi kama mashetani"aliyetoa kauli hii number one suspect...Mo kawekeza 20 billions Simba kuna mijitu imenuna kwa nini asiunge mkono Sera ya viwanda...mpaka SAA sita usiku hajapatikana ..watu wote msako nyumba kwa nyumba hata kama ya serikali...