Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Tutakukumbuka mheshimiwa, tutasimulia na vizazi vyetu kuwa kuna wakati Inji yetu ilimilikiwa na wacolombiana weusi, hawakuchagua wakumteka, hata Yesu angetokea na kukosoa angetekwa au kupigwa risasi.
 
Kabisa mkuu
 
Hahaha et bikira

We jamaa mchochez sana
 
Daaah! Hii nchi mfumo wake tu unatukatsha tamaa vijana,sasa kama MTU mo ndo alikuwa role model wake kwa hali hii kweli..moyo lazima uvunjike
 
Kwa nini mkuu wa.mkoa anaconclude kuwa ni wageni ? Tanzania haina wazungu?kwenye matukio kama haya ni bora kuwa general hapo si ajabu kwa usemi vyombo habari vikawa busy na na wageni tu kumbe njemba ni za humu hafu ni bora kujiridhisha na sura maana wabongo wengi kila ngozi angavu ni mzungu. Ila pia taarifa mjue nao wanaweza kuzifuatilia ukisema unafunga mipaka si mnawapa plan B? Tunamuombea Mo wetu
 
Msemaji wa polisi hadi hivi Sasa Mo hajapatikana wala hajakamatwa mtu yeyeto. Source BBC focus on Africa.
 
Huwezi tekwa kama 100% upo kundini...ukisapoti kila jambo.
 
Mheshimiwa Rais kama kweli wazungu wamekuingilia ktk Nchi yako na kumteka na kutowekanae mfanyabiashara MO, basi tumbua Uongozi wowote unaohusika na ulinzi na usalama wa Nchi yetu.
Wanakujaribu Muheshimiwa hawajui hujaribiwi, hawakujui vizuri, wanakubeep ni vizuri ukawapigia, huku ni kukudhalilisha wewe na Nchi yako.
Wazungu wawili na majeshi yote tuliyonayo!? Haiwezekana, kuna watu hawawajibiki au wanawajibika kukuchafulia ktk utendaji wako. Onyesha hasira zako sasa Mheshimiwa ili iwe fundisho kwa wengine.
Wale wote wasiowajibika ktk nafasi zao za kazi kama ipasavyo fweeeekeleambali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…