Siku zote Adui yako huangalia udhaifu ulionao na kupita kwenye njia zako hasa zile nyeusi. Hili swala ni pana na sisi wananchi hatuna budi kuliacha kwa vyombo vya Intelijensia kufanya kazi yake kwa upana na kuja na majibu sahihi ili kumwokoa msichana mzuri na Kigori (Bongo) kutoka kwa mapapa wanaotaka kuivuna bikra yake kinguvu.
Lilianzia kwa mwanasiasa nguli na mashuhuri, Likatelezea kwake mmiliki kwa msanii mashuhuri mwenye mtazamo hasi na mwenendo wake na sasa kwa Mfanyabiashara mashuhuli,
Mungu mlinde kijana huyu MO na maovu yote, na pia endelea kumpigania msichana huyu mrembo mtarajiwa lulu ya dunia.
Ahsante!!!