Halaf kwanini asitengeneze gym kwake nae
Nasikia wapo hadi JF!Wasiojulikana wameanza tena...
Wewe kuwa kama yule mfanyabiashara wa huko Tarime wasiojulikana wakijichanganya kwako watwange Risasi tu hakuna namna ingineKama dewj anatekwa mimi ni nani!?
Vip camera za dodoma zilisaidia kuwapata waliomshambulia lissu?Jengo halina camera za nje?? Ili tupate pa kuanzia kumsaka!!
Bodyguard ana uwezo wa kupambana na watu wa Sirikali?Hatembeagi na bodyguard?
Mazoezi yapeke yako hayanogiHalaf kwanini asitengeneze gym kwake nae
Mazoezi ya peke yako yanaboaNdo nashangaa, kwann asiwe na gym ya home kwake, wakati hapa dar kuna matajiri wadogo ambao wanamiliki private gym home kwao, ubahili mwingine una-cost, itakuwa maybe ametekwa na kikundi cha majambazi kinachotaka pesa ili aachiwe, au kama katekwa na wanasiasa, bhasi itakuwa hajui kuishi kinafiki na wanasiasa, Mengi anajua kuishi kinafiki na wanasiasa ndo maana hatekwi. Mama Sabrina Mshana Jr
🙆🏽♂️🙆🏽♂️Kama MO anatekwa mi si ndo watanifyekelea mbali kabisa
iga style ya Zacharia yule mfanyabiashara wa huko Tarime mkoani mara ambaye aliwapiga Risasi wasiojulikana mpaka leo wapo hospt wanaugua majeraha na maumivu.Haya matukio yanaichafua serikali!! Ina maana serikali inashindwa kuwajua wanaofanya haya matukio??? Kama serikali imeshindwa ni bora watz tukaanza kuchukua hatua,,...
Kweli rafikiBodyguard ana uwezo wa kupambana na watu wa Sirikali?
tayari ushamjua mhusika?
Anafanya na familia yake ,bilionea unatembea hovyo hovyoo oohMazoezi yapeke yako hayanogi
Swala sio gym kuwa kwake, kama mipango ilipangwa ni lazima wangemteka mahala popote tu,sema mnatoa hoja kwanini hana gym kwake kwa kuwa ametekwa akienda gym ya njee hiyo sio sababu maana gym ya wengi inaleta hamasa sana kuliko nyumbani ni kama kuangalia mpira nyumbani sio kama kuangalia na watu wengi kwenye barNdo nashangaa, kwann asiwe na gym ya home kwake, wakati hapa dar kuna matajiri wadogo ambao wanamiliki private gym home kwao, ubahili mwingine una-cost, itakuwa maybe ametekwa na kikundi cha majambazi kinachotaka pesa ili aachiwe, au kama katekwa na wanasiasa, bhasi itakuwa hajui kuishi kinafiki na wanasiasa, Mengi anajua kuishi kinafiki na wanasiasa ndo maana hatekwi. Mama Sabrina Mshana Jr
Sasa kamanda kathibitisha ifiche sura yako mkuuUwongo mtupu walahi