Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Nchi ilipoa sana ila kuazia jana sakata la mwendokas na leo mo dewji yamevunja mitandao. Makampun ya simu yameuza bando zakutosha
 
All human are equal but others are more equal. Akitkewa more si sawa na ukitekwa wewe na mimi. Hiyo sio ubaguzi bali ndio nature ilivyo.
Oke let the nature take its place...
 
Mbali na athari za tishio la uhai la MO lakini issue ya usalama wa wawekezaji tuseme ukweli imetiwa dowa sana kama MO ambae ni mtanzania anatekwa na hao wawekezaji wa mataifa mengine hapa nchini usalama wao ni mdogo sana.huku ni kuhujumu uchumi wa nchi kwa namna nyingine.
 
Kuna mtu anaamini kabisa kua MO katekwa kizembe hivyo.? Mimi hainiingii akilini kabisaaaa ni tukio tu
 
Unamvizia wakati wewe ndo main target...yaan uliviziwa kitamboo

Na ule mshtuko wa ambush hutathubutu kurusha hata ngumi
Hivi hujui nao wanakua wamepaniki presha nk ..kila mtu anakua na tension mtekaji na mtekwaji[emoji13] [emoji13]
 
Sijui hawa watekaji wamejiamini kumteka mtu maarufu kama yule tenda kwenye jiji lenye ulinzi mkali kama Dar.

Jamani tule hata nyasi ili nunue CCTV camera mji mzima mpaka kule Majohe na Msongola kwenye barabara za mavumbi.
Mawazo yako yanawakilisha aina ya viongozi wengi waliopo Afrika! Hata panya anaona mbali zaidi!
 
Vibaka wenye tu wakikuzunguka hata aja kubwa inakuja sembuse hawa professional killers
Hao unaweza kuwapa simu na pochi yako wakaondoka sasa hawa ambao wanakuchukua ukiwa hujiui kipi kinafata baada ya kukuchukua. Ni hatari Mungu atuepushe pia amuepushe na kila baya aweze kuacahiwa akiwa salama
 
mtoa mada unaweza ukawa umeeeleweka au hujaeleweka maana ya mchanganyo nilivyokuelewa mimi unamaana hapo kuna kauli mbili tofauti au vipi yaani watu 4 na watu 2??
Nachomaanisha ni kuwa aliyeshuhudia kaona watu wanne, kamanda kamalizia kuwa waliomteka ni wazungu wawili.
Shuhuda walikuwa wamejifunika nyuso zao, kamanda kamalizia kuwa ni wazungu wawili, je kama ni waraab koko wa tabora kamanda haon kama hiyo ya kuanza kukagua wageni wote hasa wazungu itapelekea kuwepo na maonezi? Maana kama matrafiki tu sheria zipo lakin twanyanyaswa je hao wageni je si ndo mradi mwingine wa kukusanya mapato umebuniwa
 
Mara paaap anapatikana Moro mashamba tunaambiwa kajiteka
IMG_20181011_123615.jpeg

Mar
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom