MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
ni wazungu alafu ni wageni pia.. je wahalifu hawa wamewezaji kuingia nchini na kufanikiwa kufanya uovu... sijawahi kusikia dunianii..Bila shaka hili la kujua kuwa watekaji ni wazungu likikuwa na faida kubwa kwa wana usalama. Walikuwa wamepunguziwa kazi ya kudeal na watu wote na kuamua kudeal na wazungu ambao niwatu wachache.
Kusema kuwa watekaji ni wazungu si kunawaalert wajipange zaidi. Na pengine walitumia uzungu wakijua hamna mtu atawahisi sasa wakijua wamejulikana watajipanga zaidi.
kiusalama kulikuwa na faida ya kusema watekaji ni wazungu? kuna weza kuwa na lengo lingine la kusema watekaji ni wazungu? sielewielewi!!!?
tujikumbushe waliolipua ubalozi wa USA TANZANIA walikuwa wageni au wazawa?