Kwetu kaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 582
- 475
We jamaa we
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yetu macho tu...Inaogofya ati! Mpka lini hii hali? Ccm walikuwa wanadai watu wanajuteka, vipi huyu nae kajiteka?
Mpaka lini?Yetu macho tu...
Ni kweli ndugu,Mo hapendagi makuuu...anaweza ata kula ugali dagaa/maharagwe na wafanyakazi wakeee..
Mzee baba unafananisha USA na ushuzi wa tz ..Kuna Makosa kadhaa Vyombo vyetu vya Ulinzi huwa wanafanya wanapo report Matukio
Kutaja udhaifu wa ushahidi uliokusanya ni kosa kubwa Sana Kwa wenye ujuzi kiasi wa Masuala hayo
Kutangaza Kuwa CCTV Camera hazioneshi Vizuri sura Za Watuhumiwa
Hazioneshi Mlango walioingilia n.k maana yake unawafanya wahalifu watuambie udhaifu uliopo kwny collected evidence Na hivyo kujipanga kutokea hapo Na Pia Hata suspect utakaowakamata kuanzia Leo watajua Kwa kiasi gani kuna udhaifu kwny ushahidi mlionao!
Kwa Mfano Kama wahalifu Ni waarabu/ Wahindi Au wachina lakin nyie mme tangaza Kuwa Ni Wazungu maana yake tayari washajua mpo off point hivyo wanaweza kuchomoka kirahisi
Tusiwape Fursa Wanasiasa Kuwa wasemaji wa Masuala haya Kwa Kuwa kuna taarifa zingine Ni muhimu Kwa wakati Fulani but sio for public consumption Kwa wakati huo
Kwenye Shambulio la 7th August, 1998 pallet Ubalozi wa America Ally Hassan Mwinyi Road walipata evidence nyingi Sana Za awali lakin hawaku expose chochote bali tulikuja kujua Baada ya Khalifa Mohamed kukamatwa Bungoni Ilala Na kupelekwa America Na kuja kugundulika Mengi wakati kesi inaendelea
Kuanza kufafanua features Za collected evidence Ni kosa kubwa Sana tunafanya Kwa Kujua Au kutojua
Unapotaja mbinu walizotumia wahalifu hadharan maana yake unatoa Semina Elekezi Kwa wahalifu wengine waige bila ya kutambua
Unasema?Ccm ndo wanahusika hapo hakuna jipya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ramli inasemaje
Moyoni mwako una jambo unalotaka kulisema lakini unashindwa. Kuna kitu gani cha kushangaza kwamba ametekwa na watu wasiojulikana? Kama wewe unawajua si uwataje? Hapo hapo polisi wamesema kuna Wazungu wanaotuhumiwa kuhusika na utekaji huo. Wewe unakanusha vikali habari hiyo kama vile una uhakika Mzungu hawezi kufanya hivyo. Huu ni upungufu wa fikra kuanza kushabikia kitu ambacho wala huna habari kamilifu kuhusiana na suala husika.Duh!Watu wasioujulikana hao bila shaka!
Hii nchi sasa!!
Walitekwa na kupotea watu wa kawaida, tukaona ni mambo madogo.Leo wanatekwa matajjri na watu maarufu labda sasa ndio tutashituka.
Nakumbuka pia yaliompata Lissu na mfanyabiashara wa Tarime bwana Zakaria.
Wacha tusubiri tuone nini kinaendelea tutapata picha kamili.
Kwa sasa wanaweza kuwa wanapima upepo.Pressure ikiwa kubwa,wanaweza kumwachia ikiwa mpaka sasa bado yuko salama.
Hii update kuwa katekwa na wazungu,inanipa maswali mengi sana na mojawapo ni wazungu gani hao wa kumteka mtu tajiri kama huyo tena wakiwa katika nchi ya watu?
Wanajiamini nini?
Sijui motive ni ninUwezekano mkubwa haya ni maigizo tu kwa nia ya kujipatia kiki.
Wazee wa suti nyeusiDadavua mkuu maana sijakusoma
Mambosasa hafai kabisa na genge lakeTangu waseme wale police waliopiga watu ukonga hawakuwa police ni wahuni wna gari za pt tangu waseme risasi ilipigwa juuu ikakata kona huwa sinaga muda kumsikikiza mambosasa najichefua moyo bure