Dar Mpya: Mawaziri na wabunge wako nyuma ya Umoja Party. Wengi watiifu kwa hayati Magufuli

Kumbe aliutaka uenyekiti! Hakujua sumu huwa haionjwi πŸ˜†πŸ˜†
 
Safi sana, hii ndiyo demokrasia tunayoitaka Tanzania.
 
NDOTO YANGU YA ALFAJIRI

..Ninasikia nyimbo za mapambio kwa mbaaali sana.. ghafla ninawaona Chadema na ACT wakitangulia mbele na msalaba, mashada ya maua. Sanduku lina rangi mbili likiwa limebebwa kwa UMOJA wakielekea malaloni. Ninajaribu kusogelea kwa karibu ninakuta ndio wanamalizia shughuli ya kupumzisha mwili.

Mwisho ninayasikia maneno haya toka kwa waombolezaji

"Vita umeipigana, pumziko la milele liwe nawe"

Bwana ametoa, wana ametwaa

Ninashtuka toka usingizini ninaangalia saa yangu inasoma saa 10 alfajiri, tar 20 April 2022. Ninakwenda kuhakikisha kama nilifunga mlango vizuri ninakunywa maji ninarudi tena kulala.
 
Kama watafanikiwa kujiengua WATAPUNGUZA nguvu ya chama Dola, wakati huo huo WATAONGEZA nguvu ya upinzani. Kama wapinzani watachanga karata vizuri tembo aweza lala Chali.
 
Chama threat kwa CCM hakiwezi kupata usajili wa kudumu, hawa jamaa kama hawana connection na CCM basi wanajichosha bila sababu za msingi.

Dawa ya nchi hii ni katiba mpya, hapa tulipofikia hakuna njia nyininge yoyote ile. yaani ni hivi anayeandikisha hivi vyama vipya ili viweze kufanya kazi nchini kapewa hiyo kazi na Mwenyekiti wa CCM Taifa.
 
Hapa ndipo watajua nini maana ya Katiba bora.

Watachapwa hadi wachakae
 
Kama watafanikiwa kujiengua WATAPUNGUZA nguvu ya chama Dola, wakati huo huo WATAONGEZA nguvu ya upinzani. Kama wapinzani watachanga karata vizuri tembo aweza lala Chali.
Kwa tume ipi?
 
Bangi mnazovuta mkiwa na njaa ni mbaya sana.
 
Interesting.

Kama hao masupporter hawajafanikisha usajili wa polisi, JWTZ , TISS, tume ya uchaguzi na msajili kwenye hicho chama, basi warudi kijiweni kuendelea kunywa wanzuki na kusimuliana kumbukumbu nzuri za jiwe.

Watu wakiambiwa katiba mpya ni muhimu kweli kweli wanashindwa kuelewa. Wanakimbilia kuanzisha chama cha siasa based on sentiments and nostalgia for a deceased person!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…