Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Umoja pati aka Chama cha MAKASIRIKO 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe aliutaka uenyekiti! Hakujua sumu huwa haionjwi 😆😆ACT chenyewe hakikufa kwasababu yule msaliti wao waliyemtengeneza toka akiwa Chadema, aliendelea mbele baada ya kujifukuzisha Chadema akakitafutia usajili, ndio akajiita "supreme leader" ila kama naye angeupata ule uenyekiti aliokuwa anautaka Chadema, naamini hiyo ACT nayo leo hii isingekuwepo.
Duuh Mungu aweke mahali panapostahili roho yake! asante kwa taarifaAlifariki tena akiwa CHADEMA
Si mtiifu wa marehemu. Ni watiifu Kwa maono aliyoyaamini marehemu. Matendo MAZURI ya mtu HAYAFI kamwe. Mf Hadi Leo Mandela anatajwa Afrika nzima Kwa aliyoyatenda.Hivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Kama watafanikiwa kujiengua WATAPUNGUZA nguvu ya chama Dola, wakati huo huo WATAONGEZA nguvu ya upinzani. Kama wapinzani watachanga karata vizuri tembo aweza lala Chali.
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.
Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Ujingaujinga tu.Ni ngumu sana wenye akili ndogo kuelewa,
Unaweweseka.Hakuna chama hapo. Ni genge la wahuni tu
CCJHahaha wawe makini sana...wakamuulize Fred Mpendazoe alivyotoswa na Ndugai...
Sawasawa...lenye hasira tu..Hakuna chama hapo. Ni genge la wahuni tu
Hapa ndipo watajua nini maana ya Katiba bora.Chama threat kwa CCM hakiwezi kupata usajili wa kudumu, hawa jamaa kama hawana connection na CCM basi wanajichosha bila sababu za msingi.
Dawa ya nchi hii ni katiba mpya tu, hapa tulipofikia hakuna njia nyininge yoyote ile. yaani ni hivi anayeandikisha hivi vyama vipya ili viweze kufanya kazi nchini kapewa kazi na Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Kwa tume ipi?Kama watafanikiwa kujiengua WATAPUNGUZA nguvu ya chama Dola, wakati huo huo WATAONGEZA nguvu ya upinzani. Kama wapinzani watachanga karata vizuri tembo aweza lala Chali.
Bangi mnazovuta mkiwa na njaa ni mbaya sana.NDOTO YANGU YA ALFAJIRI
..Ninasikia nyimbo za mapambio kwa mbaaali sana.. ghafla ninawaona Chadema na ACT wakitangulia mbele na msalaba, mashada ya maua. Sanduku lina rangi mbili likiwa limebebwa kwa UMOJA wakielekea malaloni. Ninajaribu kusogelea kwa karibu ninakuta ndio wanamalizia shughuli ya kupumzisha mwili.
Mwisho ninayasikia maneno haya toka kwa waombolezaji
"Vita umeipigana, pumziko la milele liwe nawe"
Bwana ametoa, wana ametwaa
Ninashtuka toka usingizini ninaangalia saa yangu inasoma saa 10 alfajiri, tar 20 April 2022. Ninakwenda kuhakikisha kama nilifunga mlango vizuri ninakunywa maji ninarudi tena kulala.
Kwa lugha nyepesi ni waliokuwa wanufaika Wa utawala Wa hayatiHivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Hata mitume unayoifuata kuuimba na kuitukuza ni marehemu wa muda mrefu sanaaaaHivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Interesting.
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.
Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Daah masikini, RIPAlifariki Apumzike kwa Amani
Hivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.