Alikuwa mtangazaji wa ITV! Mumewe alikuwa mwanajeshi alitaka kumuua yeye na mama ake! Huyo mjeda naye alijipiga risasi na kufa! Ilikuwa stori ya mjini kipindi kile! Nilikumbuka tu kwa kuwa huyu Blandina naye ni wa ITV!Ufuo salo ni Nani na alifanya Nini?
R.I.p Blandina, nimejikuta nakumbuka tukio la Ufuo Salo miaka ile!
Hatari. Polisi wafanye kazi yao kwa waledi kuwapata waarifu
Hiyo story naifahamu ila umekosea jina, Ufoo Saro siyo Ufuo Salo.Alikuwa mtangazaji wa ITV! Mumewe alikuwa mwanajeshi alitaka kumuua yeye na mama ake! Huyo mjeda naye alijipiga risasi na kufa! Ilikuwa stori ya mjini kipindi kile! Nilikumbuka tu kwa kuwa huyu Blandina naye ni wa ITV!
Hivi kutakuwa na Upelelezi kweli? kwa maana Polisi wote wako bize kule Twitter wakikimbizana na" wahalifu " huku wakiahidi Fat gift
Ndivyo walivyoandikaHivi 'fat gift' ndiyo zawadi nono?
Jamani huyu dada...kisa nini.jamani nimeharibu Jumapili yangu...ohh no! Jamani tumefika huku
Asante kwa marekebishoUfoo Saro
Duuh, sawa kaka! Nashukuru kwa masahihisho!Hiyo story naifahamu ila umekosea jina, Ufoo Saro siyo Ufuo Salo.
Nipo mkubwaAdimu Sana Professor
Hahahaha " fat gift"! Au sijui zawadi Nene? Huenda ni zawadi y mfugo hii.Hivi 'fat gift' ndiyo zawadi nono?
Ufoo Saro
Ameandika muarifu hakusema muharifuKama una ushahidi mpelekee madame amfunge
Tulisema ni Magu, hayupo sasa. Atakuwa nani?Pumzika Mama