Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

Ufuo salo ni Nani na alifanya Nini?
Alikuwa mtangazaji wa ITV! Mumewe alikuwa mwanajeshi alitaka kumuua yeye na mama ake! Huyo mjeda naye alijipiga risasi na kufa! Ilikuwa stori ya mjini kipindi kile! Nilikumbuka tu kwa kuwa huyu Blandina naye ni wa ITV!
 
Hiyo story naifahamu ila umekosea jina, Ufoo Saro siyo Ufuo Salo.
 
Soo sad [emoji27][emoji174]
20210328_165807.jpg
 
Back
Top Bottom