Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

Mbona unatoa habari haijitoshelezi? Unatetemeka? Marehemu ameuwawa hapo ITV? Kwa nini Henry Mabumo ndio aje kuutambua?
Unayajua maeneo hayo vizuri?

Kina Mabumo walikuwa Maryland wanakunywa, kuna mtu akaja anapiga kelele kuwa kaona maiti, ila anadhani marehemu ni mfanyakazi wa ITV.

Ndipo Mabumo na watu wengine pale bar wakainuka na wakaenda kumtambua.
 
Unayajua maeneo hayo vizuri?
Kina Mabumo walikuwa Maryland wanakunywa, kuna mtu akaja anapiga kelele kuwa kaona maiti, ila anadhani marehemu ni mfanyakazi wa ITV.
Ndipo Mabumo na watu wengine pale bar wakainuka na wakaenda kumtambua
Mimi nipo Bukoli nitayajua vipi hayo maeneo? Ila sasa hivi umeweka mambo sawa.
 
Back
Top Bottom