Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

R.I.p Blandina, nimejikuta nakumbuka tukio la Ufuo Salo miaka ile!
Mkuu ufuo salo naye alisha uwawa au? Yule dada nilikuwa nampenda kwenye utangazaji wake, miaka mingi siangalii Taarifa ya habari
 
Mnhh... Hapa kama si mambo ya kudhulumiana hapa...mapenzi...viwanja ..mtaji wa kibiashara...etc.

Coz I dont see her a political activist.
Duh.. RIP.
 
Tanzania ya sasa hivi kuuana kama hillbrow tuu hapo Johannesburg yaani watu hawajali wala nini...
Rest in peace Brandina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…