road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Ukisomesha na umri wa chini mtoto anaweza asiwe serious aiseeMiaka 17 -18 ni umri wa A level
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisomesha na umri wa chini mtoto anaweza asiwe serious aiseeMiaka 17 -18 ni umri wa A level
Si huwa mna waonyesha ma movie ya kikatili sasa ndio somo alilopata kwenye movieDuh huyu dogo ni jasiri na ana roho ngumu, unampiga mtoto mwenzio risasi na unambeba kumpeleka kwao na unadanganya amepigwa na shoti😪 kwanza miaka 17 huyu si anajitambua kabisa sheria ifate mkondo wake tu .
basi wazazi wenye silaha tunzeni vizuri silaha zenu ili kuepusha madhara kama haya. R.I.P mtoto
Aisee ni kweli ila basi silaha zitunzwe vizuri, imagine kama ingekua imefungiwa kwa sanduku la chuma huko funguo ikafichwa angeitoa wapi. Afu 17 yrs mi nakumbuka nilikua mdada mkubwa tu nayajua mema na mabaya. Eti movies ndiyo ziniharibu aargh labda watoto wa siku hizi.Si huwa mna waonyesha ma movie ya kikatili sasa ndio somo alilopata hotelMake kwenye movie
Dogo anachomoka ,nakumbuka lugalo mwaka 1996 lishawai kutokea tukio kama hilo ,Mwanafunzi wa miaka 14 Alex alimpiga risasi kichwani mwanafunzi mwenzake lakini hakufungwa.Maisha ya dogo ndio yashaingia kwenye kiza...baba mtu naye anaweza kula mvua
Kutoa tu kauli bila kuonyesha mtiririko wa hoja hata mtoto mdogo anaweza, atatokea mtu atakwambia miaka 18 ni umri wa chuo kikuu, bila kutoa hoja yeyote, halafu utamjibu nini sijui..Miaka 17 -18 ni umri wa A level
Mkuu kwa taarifa yako tu ni kwamba kwenye huu mtaa iliootokea hili tukio wamejazana wapemba wengi sana yani ni kama kamtaa kao, na hilo tukio limetokea kwenye nyumba ya mpemba na wana misimamo mikali ya kidini na hata wakati wa kujenga hapo mtaani unaambiwa wewe kama si muislamu utapigwa vita balaa!huyu dogo atakuja kuwa jambazi akiachwa mtaani huwezi mpiga risasi bado ukapata ujasiri wa kumbeba na kudanganya kapigwa na shoti ya umeme
kweli 17 ni umri wa mtoto ila kwa matendo haya huyu anajua alichokuwa anafanya wamlambe mvua za kutosha
Ni umri wa A-level kwa kwa mtazamo wako ila kitaratibu ni sawa kabisaa umri huo ni form 3.Miaka 17 -18 ni umri wa A level
Darasa la kwanza miaka mitano anamaliza shule ya msingi na miaka 11. Kidato cha kwanza 12 anamaliza sekondari na 16.Kutoa tu kauli bila kuonyesha mtiririko wa hoja hata mtoto mdogo anaweza, atatokea mtu atakwambia miaka 18 ni umri wa chuo kikuu, bila kutoa hoja yeyote, halafu utamjibu nini sijui..
Kwa hiyo mkuu unataka kusema huenda mtoto alishaanza kupata mafunzo ya kigaidi? Lazima tuanze kuunga dotzMkuu kwa taarifa yako tu ni kwamba kwenye huu mtaa iliootokea hili tukio wamejazana wapemba wengi sana yani ni kama kamtaa kao, na hilo tukio limetokea kwenye nyumba ya mpemba na wana misimamo mikali ya kidini na hata wakati wa kujenga hapo mtaani unaambiwa wewe kama si muislamu utapigwa vita balaa!
Kingine kwenye haka kamtaa kao ndio pana familia ya moja ya wale magaidi /mashehe wa Zanzibar waliopo rumande, nyumba yake ilipigwa na bomu kipindi kile cha mabomu ya gongo la mboto.
Baadae tukaja kusikia na yeye ni moja ya wale waliokuwa wanafanya matukio ya kuua mapadri kule Zanzibar na jamaa alivyo hubishi.
Kwa hiyo pata picha huyo kijana akiwa mkubwa atakuwa vipi.
Kumbuka watoto wa siku hizi haswa mboga saba hawana adabu 70% yaoAisee ni kweli ila basi silaha zitunzwe vizuri, imagine kama ingekua imefungiwa kwa sanduku la chuma huko funguo ikafichwa angeitoa wapi. Afu 17 yrs mi nakumbuka nilikua mdada mkubwa tu nayajua mema na mabaya. Eti movies ndiyo ziniharibu aargh labda watoto wa siku hizi.
Kwahiyo hufahamu umri rasmi wa serikali ya Tz ya kujiandikisha la kwanzaDarasa la kwanza miaka mitano anamaliza shule ya msingi na miaka 11. Kidato cha kwanza 12 anamaliza sekondari na 16.
Huo ndio ulikiwa umri wangu wakati namaliza darasa la saba.Miaka 17 yuko kidato cha tatu mbona amechelewa kuanza shule