Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Huyo km wa kwangu 5yrs std one anamaliza na 11 yrs halafu huyo alofunga 11 tarehe 2 ni twin wa my first born aseeh!but yuko std 6Jamani msimsakame dada wa watu, watoto ni wengi sana wamemaliza sekondari chini ya miaka 16.
Shule hizi hizi za kwenda na kurudi kwa bus ndizo zinazoongoza kwa kupokea watoto chini ya miaka sita kuanza darasa la kwanza.
Watoto wangu watatu wamemaliza form four na miaka 16,mmoja kafunga tarehe 2 mwezi huu miaka 11 na yupo darasa la 7.