Mkuu kwa taarifa yako tu ni kwamba kwenye huu mtaa iliootokea hili tukio wamejazana wapemba wengi sana yani ni kama kamtaa kao, na hilo tukio limetokea kwenye nyumba ya mpemba na wana misimamo mikali ya kidini na hata wakati wa kujenga hapo mtaani unaambiwa wewe kama si muislamu utapigwa vita balaa!
Kingine kwenye haka kamtaa kao ndio pana familia ya moja ya wale magaidi /mashehe wa Zanzibar waliopo rumande, nyumba yake ilipigwa na bomu kipindi kile cha mabomu ya gongo la mboto.
Baadae tukaja kusikia na yeye ni moja ya wale waliokuwa wanafanya matukio ya kuua mapadri kule Zanzibar na jamaa alivyo hubishi.
Kwa hiyo pata picha huyo kijana akiwa mkubwa atakuwa vipi.