Huyo km wa kwangu 5yrs std one anamaliza na 11 yrs halafu huyo alofunga 11 tarehe 2 ni twin wa my first born aseeh!but yuko std 6Jamani msimsakame dada wa watu, watoto ni wengi sana wamemaliza sekondari chini ya miaka 16.
Shule hizi hizi za kwenda na kurudi kwa bus ndizo zinazoongoza kwa kupokea watoto chini ya miaka sita kuanza darasa la kwanza.
Watoto wangu watatu wamemaliza form four na miaka 16,mmoja kafunga tarehe 2 mwezi huu miaka 11 na yupo darasa la 7.
Dah....maisha yamebadilika sana...miaka 17 nilikuwa darasa la 2 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Miaka 17 yuko kidato cha tatu mbona amechelewa kuanza shule
Wanaanza na 20 to 21yrs...yaani wa kwangu yuko std 7yrs wanamshangaa sana.yaani Bongo std 7 wengi ni 13yrs wanamaliza O level na 17 yrs.Mmh sasa kama ni binti atamaliza first degree lini kuanza kazi na kupata mtoto!
Sheria inasema miaka 17 ni mtoto hivyo hajitambui mzee.Huyu kafanya tukio kwa kudhamiria kabisa,
Miaka 17 anajitambua kabisa, na pengine alifanyia sifa ya kua baba anamiliki mguu wa kuku, huyo mzee anawekaje siraha kizembe zembe hivyo.
Wote hawa nikuwapa adhabu.
University ukipiga sap unamaliza na 26.Wanaanza na 20 to 21yrs...yaani wa kwangu yuko std 7yrs wanamshangaa sana.yaani Bongo std 7 wengi ni 13yrs wanamaliza O level na 17 yrs.
Kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba karibia na DIT huku Dar kuna jela za watotoHivi bongo kuna juvenile detention au watasubiri afike 18 afu ale masika za kutosha?
Mshua ndio basi tena.
Huyo dogo akihojiwa vizuri unaweza ukasikia anasema aliona kwenye movie series ya Koreahuyu dogo atakuja kuwa jambazi akiachwa mtaani huwezi mpiga risasi bado ukapata ujasiri wa kumbeba na kudanganya kapigwa na shoti ya umeme
kweli 17 ni umri wa mtoto ila kwa matendo haya huyu anajua alichokuwa anafanya wamlambe mvua za kutosha
Ndio maana yuko kidato cha tatu maana yake ni bandidu. Alikariri darasahuyu dogo atakuja kuwa jambazi akiachwa mtaani huwezi mpiga risasi bado ukapata ujasiri wa kumbeba na kudanganya kapigwa na shoti ya umeme
kweli 17 ni umri wa mtoto ila kwa matendo haya huyu anajua alichokuwa anafanya wamlambe mvua za kutosha
hata kama ndo uandike essay?Jamani msimsakame dada wa watu, watoto ni wengi sana wamemaliza sekondari chini ya miaka 16.
Shule hizi hizi za kwenda na kurudi kwa bus ndizo zinazoongoza kwa kupokea watoto chini ya miaka sita kuanza darasa la kwanza.
Watoto wangu watatu wamemaliza form four na miaka 16,mmoja kafunga tarehe 2 mwezi huu miaka 11 na yupo darasa la 7.
ipo nyuma ya DIT lakini kwa miaka 17 atatoroka maana ni kama nyumba tu yenyefensi sema kuna ulinzi kidogo sio sana pale panafaa watoto chini ya miaka 12 tuKuna mtu aliwahi kuniambia kwamba karibia na DIT huku Dar kuna jela za watoto
Mbona mimi nimesoma kijijini na nilianza na miaka 5.Usituletee mambo ya kizungu hapa bongo. Acha uswahili.
Mamuvi+ma game gtaHuyo dogo mamuvi ya anodi schwaziniga yamemuharibu
Opposite na regency Hotel ipoKuna mtu aliwahi kuniambia kwamba karibia na DIT huku Dar kuna jela za watoto
Miaka 17 ni mtoto? Acheni masikhara huyu no kijana anayejitambua kabisa na anaweza kuwa hata na mademu hata wawili analala nao .Angekuwa demu ukute anamiliki libaba LA miaka 50
Hahahaaaaaa umenikumbusha mbali sana mkuu GTA PS2Mamuvi+ma game gta
Ova
Kwa mujibu wa sheria za JMTMiaka 17 ni mtoto?
Ndo maana wanadanganya umri kazini maana wanachelewa kusomaUniversity uji pigs sap unamaliza na 26.
Ni kweli kabisa, nchi nyingine 21-22 unakamata first degreeNdo maana wanadanganya umri kazini maana wanachelewa kusoma