Dar: Mtoto wa miaka 17 ampiga risasi mtoto mwenzake na kumsababishia kifo

Acha mambo ya kupakazia, uchochezi usiomaana
Pakazia
 
Dogo anachomoka ,nakumbuka lugalo mwaka 1996 lishawai kutokea tukio kama hilo ,Mwanafunzi wa miaka 14 Alex alimpiga risasi kichwani mwanafunzi mwenzake lakini hakufungwa.
Haiko hivo, huyu kijana wa miaka 17 alijua fika matumizi ya hiyo bastola na madhara yake.
Pia yawezekana huyo unaemsema wa miaka 14 labda mazingira ya tukio ndio yaliyomuokoa na kifungo
 
Haiko hivo, huyu kijana wa miaka 17 alijua fika matumizi ya hiyo bastola na madhara yake.
Pia yawezekana huyo unaemsema wa miaka 14 labda mazingira ya tukio ndio yaliyomuokoa na kifungo

Sijajua jinsi ya tukio la huyo kijana wa 17 ila wa 14 ilikuwa bahati mbaya maana alikuwa anamuonyesha rafiki yake button(trigger) huku akielekeza uelekeo wa kichwani wakati anamuonyesha button huku akibonyeza ndio risasi ikatoka ikampiga kichwani.

Ila kwenye tukio hilo atakayesumbuka ni huyo mzazi dogo atakaa tu lupango for a while.
 
Miaka 7 yupo la kwanza, maika 14 kama liza la saba, form 3 anatakiwa awe na miaka mingapi?
Akianza shule (darasa la 1)na miaka 7 atamaliza darasa la 7 akiwa na miaka 13

Ataanza kidato Cha Kwanza akiwa na miaka 14 then 16 atakuwa kidato Cha tatu


At ceteris peribus
 
Wanavyokazana kumuita mtoto miaka 17 ni mtoto! Huyo ni kijana tena shababi sababu ameshabalehe na tayari ana demu kama sio mademu, aende tu Segerea akatumikie miaka yake kwa mujibu wa sheria.
Sheria ya mtoto inamtambua kama mtoto maana ametenda kosa akiwa below 18 Na ukumbuke mtoto hafungwi
 
Baba apewe adhabu ndogo ya 30 years, .Huyo kanjanja mwingine sijui mtoto afungwe tu maisha maana hayo ni mauaji ya kukusudia
Mtoto hafungwi kasome sheria ya mtoto
 
Acha ubaguzi na chuki.
 
unataka ugomvi na waislamu
 
Sidhani kama alimpiga makusidi tusitumie hisia kali kwenye ili inawezekana alikuwa anachezea tu nakumbuka dogo 6 years old hivi zamani ashakuja na machine sitting room tukiwa familia yote watu walijificha adi kwenye kwenye friji nikamsikia mzee anamuomba aweke chini akiwa anachungulia kwa mbali kwenye kochi kwaiyo utoto una michezo mingi sana hatari.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Akianza shule (darasa la 1)na miaka 7 atamaliza darasa la 7 akiwa na miaka 13

Ataanza kidato Cha Kwanza akiwa na miaka 14 then 16 atakuwa kidato Cha tatu


At ceteris peribus
At ceteris peribus...others remain constant umenikumbusha hili neno nilikuwa nalipenda balaa [emoji848]
 
Reactions: a45
huyu dogo atakuja kuwa jambazi akiachwa mtaani huwezi mpiga risasi bado ukapata ujasiri wa kumbeba na kudanganya kapigwa na shoti ya umeme

kweli 17 ni umri wa mtoto ila kwa matendo haya huyu anajua alichokuwa anafanya wamlambe mvua za kutosha
Mtu mkubwa ndo kafanya dogo atakuwa kabebeshwa zigo tu.
 
dah! utoto bwna itakuwa alikuwa anaiona mara kwa mara akaamua aijaribu kama yenyewe! tuweni makini me yangu siwekagi magazine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…