Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

Nawe ukamwamini kabisa!!?
 
Kabisa kabisa
 
Kumbe bado mpo
 
Mvua baraka. Shida ni wahusika kuendekeza ANASA MATUMBO YAO NA UROHO WA HELA ZA UMMA. Kwa mvua inayonyesha Tanzania ni kiasi kidogo sana. Kama wahusika wangekuwa wanawajibika sidhani kama ingetuathiri kiasi hiki!
ChukuwaChakoMapema waache ubinafsi, mbona tutapata maendeleo wakiacha WIZI!
Niko Bunju, inaporomoka, ka radi hapa na pale. Waliojenga kwenye viwanja rasmi wako poa, kazi wale wa kwenye squatters!
Daraja la kutenganisha Bagamoyo na Dar liko poa.
Ila haya maji yangevunwa yangetufaa sana wakati wa kiangazi!
Ila tutadai hela hatuna! Ila za sherehe, V8, masafari, posho, na ujinga gani sijuwi hatuelewi huwa zinapatikana kivipi?!
 
Asante kwa update mkuu. Endelea kutupa taarifa kuhusu kinachojiri huko ulipo.
 
kijiografia na kitaalamu kwa kina cha bahari ya hindi na kwa jiografia ya jiji la dar es salaam hakuna siku ambayo tsunami itaikumbuka. rejea kwa huyo nabii wako na ukamwambie kuwa he's a damn fool sawa?
 
Anafanya kazi TMA sio?
 
Sio sahihi kuwapa lawama maafisa. Walaumu watu waliojenga kando ya mito. Kwa hili huhitaji afisa akunyime kibali ndio ujue ni hatari kujenga kando ya mito
Cha ajabu wapigakura hao hupelekewa huduma zote za jamii......umeme, barabara, huduma za afya, shule, maji, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…