Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Kwani yeye anasemaje?
Bado anaongea kwa jeuri kubwa. Hadi sasa hajaona kama ni kosa kumdhalilisha Profesa Jay kupitia ofisi yake iliyopo Kinondoni.

Anawaambia polisi hangaikeni na hao wafanyakazi wake makapukuni waliopo Tanzania lakini yeye amekunja 4 huko US ambapo hawatakaa wamfikie.

Huyu anatakiwa ifanyike utaratibu wa repatriation kurudisdhwa Tanzania ambapo kampuni yake imetenda uhalifu ili aje ajibu mashitaka, haiwezekani unaishi US, huenda ni raia wa US lakini unaendesha biashara ya kihalifu nchi nyingine.

Tena anatamba ati hawezi kudisclose source yake simply because huwa anadelete conversations?

Real? No. Not at all. Nchi haiwezi kwenda namna hii
 
Mange bwana eti ata afanywe nini hatasema waliompa….wenye uelewa wao wanamsubiria tu wamdake waone jinsi anavotapika utumbo wote
 
Kuna mahali nilisema huyu siyo mtu wa kumchekea!
 
Kuna mahali nilisema huyu siyo mtu wa kumchekea!
Kabisa bwashe........kichwa chake inaonekana ni box tupu, innate zake zishakufa siku nyingi, haiwezekani mtu uonage
uhalifu ni jambo la kawaida, tena uone uhalifu ni pride hadi useme 'nimekunja 4 US'.

Daah! Sasa Hawa madogo ambao wameajiriwa kwa siri kwenye kampuni ya kihalifu wanatakiwa waadhibiwe vikali ili wajue na jamii ijifunze kuwa kuna na connection na mhalifu kwa namna yoyote ile ni kosa hata kama wao hawajahusika moja Kwa moja.
 
Usijifanye ngunguri wewe.. hujaingia 18 zao wakutoe inya ndio utawaheshimu.
 
Mbona mange anapicha nyingi tu swahiba imeshindikanaje kushibisha uzi?

Haujautendea haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…