Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Heeee yaani mange amewaingiza watoto zetu mkenge.

Jamani si wanajua mange ni mafya, hii shida ya ajira tu masikini
Yeah ni shida ya ajira my dear yeyote angeweza kuwa victim hasa miaka hii ambapo madogo wamesota kitaa for years na wengine wakajiongeza kujifunza graphics ili wajipachike sehemu.

I like ur observation just the way I like u 😃
 
Hivi ni kweli yule mzee walimvunjia yai?
Maana lemutuz alikua anamjazibisha sana kwa kumuambia kuhusu hili tukio la baba yake.
Baba yake alibakwa na watu 11, akaamua kujipiga risasi.

Mama yake aliugua uchizi

Mtoto ndio huyo sasa.

Kuna watu wa kuwafanyia mambo ya ajabu Ila sio Jay, Jay ni mtu ambae hana noma na mtu kabisa.

Mambo Kama hayo awafanyie kina Bashite
 
Wa-Tanzania sie ni watu sijui niseme wakipekee au mapopoma,huyu dada ile number ya followers pale instagram wala akuinunua popote,wa tz wenyewe walimpa hiyo Fame...kwahiyo tutulie tu..mimi since day one hajawahi nishawishi nika mfollow..coz nishawahi kumuona live..she is nothing!!
 
Sasa mbona analeta kiburi aisee..ngoja wenzie wamuoneshe ya kwamba kiburi dawa yake jeuri..ila kuna mambo Tz yanatia kinyaa aisee unakuta mtu mzima kalipia App eti aone jinsi watu wanavyochafuliwa..ushamba wa mjini ni mzigo sana aisee
 
Mzee huyu mwanamke nimemdharau sana, ni limbukeni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…