Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Nakazia kwa lugha nyingine, mwanaume unawezaje kusimama mahali kujitambulisha kuwa wewe ni mfanyakazi wa MangeKwanza mtu unawezaje kusimama mahali ukajitambulisha kuwa wewe ni mfanyakazi wa Mange! 🤣
Hujakosea banaHahahaha kilikuja Kwa Meli[emoji1]
Acheni ujinga kujidai malaika, huyo Mange anahabarisha tu, kama habari ni mbaya isisemwe? huyo mange ni mbea lazima atoe habari za kimbea, na zote ni habari, unataka maadili gani kwenye umbea?Si alisema app haiwezi kua blocked?
Vipi hiyo kauli bora ifungwe?
Plus. Mimi nadhani vitu vidogo kama hivi ndio vyakushughulikia. Hizi media huwa zinapindua nchi hizi.
Hawa madogo design wafungwe hata miaka 15 ili iwe fundisho la nidhamu kwa taifa lao.
Ina maana wanafanya kazi bila kuheshimu utu. Kutoshiriki sio swala. Unafanyiaje kazi kampuni ambayo inaumiza damu yako?
Funga hao watoto. Fungaaaaaa!!!!
Mange ni bully na psychopath. Hapo haoni kama ni kosa alifanya kumpost mtu akiwa ICU!! Mapsychopath huwa hawajutii makosa yao hata kidogo.
Pale mashetani wanapojiona malaika kuona wenzao wana laana, wala hana laana na hataipata, mnajikuta nani nyie yani? hapa kila mtu anajifanya yuko right, huyo Mange si ni mwanahabari tu za udaku, hakuna mtu anajua mwisho wake, unasema wake utakua mbaya wako umeuna tayari au sio?Uyo mwanamke amelaaniwa atakuwa na mwisho mbaya sana
Shida ni mnajua umbea wake siku moja utawafikia na nyie so mnaogopa, me nachokasirishwa na wabongo ni kujifanua wana maadili kumbe wanafki wakubwa, wazinzi, wahuni, walevi, wauaji, majangili, wavivu ila kusemwa hawataki wanaanza hadi kusema mti kalaaniwa kisa kasema ukweli public, mnataka kujifanya wazuri tu mkioneshwa ubaya mnabwatuka[emoji34]Ishu ni kwamba, umbea sio kazi rasmi...
Hao wambea huwa wanaandika mambo mengi tu yanayoweza kuwafikisha kwa pilato...
Me niambieni ni uhalifu gani amefanya? au siku hizi difinition ya uhalifu imechange?Kabisa bwashe........kichwa chake inaonekana ni box tupu, innate zake zishakufa siku nyingi, haiwezekani mtu uonage
uhalifu ni jambo la kawaida, tena uone uhalifu ni pride hadi useme 'nimekunja 4 US'. Daah! Sasa Hawa madogo ambao wameajiriwa kwa siri kwenye kampuni ya kihalifu wanatakiwa waadhibiwe vikali ili wajue na jamii ijifunze kuwa kuna na connection na mhalifu kwa namna yoyote ile ni kosa hata kama wao hawajahusika moja Kwa moja.
Story zake za kuungaunga tuWa-Tanzania sie ni watu sijui niseme wakipekee au mapopoma,huyu dada ile number ya followers pale instagram wala akuinunua popote,wa tz wenyewe walimpa hiyo Fame...kwahiyo tutulie tu..mimi since day one hajawahi nishawishi nika mfollow..coz nishawahi kumuona live..she is nothing!!
Ndio nashangaa hapa , watu kurefusha shingo kumsema, sasa wanatofauti gani na mange? Wanachofanya hapa kusema mala hana akili,.mala mjinga,.mala amelaaniwa si.ni same na anavofanya mange, Nyani haoni kundule, wanajifanya wasafi hapa kwenye comment kumkemea na wao wanafanya the same thing.Mabavicha ingekuwa kipindi kile yangesema ni udikteta!
Leo lile jini lao walilolilea limeamua kuwanyonya damu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
ndio nashangaa hapa , watu kurefusha shingo kumsema, sasa wanatofauti gani na mange? wanachofanya hapa kusema mala hana akili,.mala mjinga,.mala amelaaniwa si.ni same na anavofanya mange, Nyani haoni kundule, wanajifanya wasafi hapa kwenye comment kumkemea na wao wanafanya the same thing. Shida wanajua huyo.mange atawaandika huko siku koja so wagu wanajihami App yake.ifungwe ili waendelee kua safe na ujinga wao
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Watu wa Marketing wanakuambia hakuna bidhaa inayokosa mtumiajiMange ni zao la upumbavu wa watanzania. Mtu na akili zako unamfollow vp mange kibaya zaidi eti unadownload app yake.
Ukweli usemwe, 85% ya habari zake ni kweli wala hatungi, hadi siku akiandika habari ambayo unaijua 100% ndio utaamini, it happened, i was once like you nilikua sijawahi kumkubali hata mala moja, ila m alindika something ambacho hadi.lwo huwa najiuliza who told her about that na sijui ila was true 100% japo najua someone withing those few people who knew lazima alisema mahali na huko alikosema wakamfikishia Mange, so she is right mala.nyingi tu, sababu hagungi story.Story zake za kuungaunga tu
Ila wabongo walivyo mazwazwa anawapata
Ova
Hii English vipi?
Sio kuhukumu, hata Millard Ayo mmbea, sema amebase kwenye aina flani za habari tu na mange amebase kwenye udaku.Kwani ukoo wako wewe unapotokea mko wote decent au kila mtu ana madhambi yake??....why unampa Mange cheo cha Mungu kuwahukumu wanaokosa????
Sasa hapa we na mange mnatofauti gani? Lugha anayotumia ndio umetumia hapa, hivyo wewe pia unalaana ya kutembea na nani ako? watu mnajikuta nani humu ndani, priests ama?Huyu malaya ana laana ya kutembea na baba yake mzazi
Kwanza mtu unawezaje kusimama mahali ukajitambulisha kuwa wewe ni mfanyakazi wa Mange! 🤣
Acheni kuwa bully watu ambao hao hao mnaona wanabully wengine na mnawasema, that makes you the same, mko hapa kupiga makelele mala kalaaniwa mala sjui mpuuzi mala sjui anavunja sheria,Wewe ni Ke au Me?