Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Si alisema app haiwezi kua blocked?
Vipi hiyo kauli bora ifungwe?
Plus. Mimi nadhani vitu vidogo kama hivi ndio vyakushughulikia. Hizi media huwa zinapindua nchi hizi.
Hawa madogo design wafungwe hata miaka 15 ili iwe fundisho la nidhamu kwa taifa lao.
Ina maana wanafanya kazi bila kuheshimu utu. Kutoshiriki sio swala. Unafanyiaje kazi kampuni ambayo inaumiza damu yako?
Funga hao watoto. Fungaaaaaa!!!!
Acheni ujinga kujidai malaika, huyo Mange anahabarisha tu, kama habari ni mbaya isisemwe? huyo mange ni mbea lazima atoe habari za kimbea, na zote ni habari, unataka maadili gani kwenye umbea?

Kama umefumaniwa itaandikwa CHANCE NDOTO afumaniwa, aogipe kutoa habari kisa maadili mbona mnavofanya ujinga hamkumbuki kua ni maadili?

Ukiangalia hapa wengi wanaopondea ile App ni wale wanaojua wana makandokando yao huko wanajua ipo siku watafikiwa, hivo wana shout hapa iki ifungiwe wawe safe.

Nasemaje App iendelee hadi wajinga wote wanyooke, wana cheat ovyo, wanaotoka.nnje ya ndoa, wanaojjidhalilisha yani wote acha waandikwe.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Uyo mwanamke amelaaniwa atakuwa na mwisho mbaya sana
Pale mashetani wanapojiona malaika kuona wenzao wana laana, wala hana laana na hataipata, mnajikuta nani nyie yani? hapa kila mtu anajifanya yuko right, huyo Mange si ni mwanahabari tu za udaku, hakuna mtu anajua mwisho wake, unasema wake utakua mbaya wako umeuna tayari au sio?

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Ishu ni kwamba, umbea sio kazi rasmi...

Hao wambea huwa wanaandika mambo mengi tu yanayoweza kuwafikisha kwa pilato...
Shida ni mnajua umbea wake siku moja utawafikia na nyie so mnaogopa, me nachokasirishwa na wabongo ni kujifanua wana maadili kumbe wanafki wakubwa, wazinzi, wahuni, walevi, wauaji, majangili, wavivu ila kusemwa hawataki wanaanza hadi kusema mti kalaaniwa kisa kasema ukweli public, mnataka kujifanya wazuri tu mkioneshwa ubaya mnabwatuka[emoji34]

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Kabisa bwashe........kichwa chake inaonekana ni box tupu, innate zake zishakufa siku nyingi, haiwezekani mtu uonage
uhalifu ni jambo la kawaida, tena uone uhalifu ni pride hadi useme 'nimekunja 4 US'. Daah! Sasa Hawa madogo ambao wameajiriwa kwa siri kwenye kampuni ya kihalifu wanatakiwa waadhibiwe vikali ili wajue na jamii ijifunze kuwa kuna na connection na mhalifu kwa namna yoyote ile ni kosa hata kama wao hawajahusika moja Kwa moja.
Me niambieni ni uhalifu gani amefanya? au siku hizi difinition ya uhalifu imechange?

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Wa-Tanzania sie ni watu sijui niseme wakipekee au mapopoma,huyu dada ile number ya followers pale instagram wala akuinunua popote,wa tz wenyewe walimpa hiyo Fame...kwahiyo tutulie tu..mimi since day one hajawahi nishawishi nika mfollow..coz nishawahi kumuona live..she is nothing!!
Story zake za kuungaunga tu

Ila wabongo walivyo mazwazwa anawapata

Ova
 
Mabavicha ingekuwa kipindi kile yangesema ni udikteta!

Leo lile jini lao walilolilea limeamua kuwanyonya damu

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ndio nashangaa hapa , watu kurefusha shingo kumsema, sasa wanatofauti gani na mange? Wanachofanya hapa kusema mala hana akili,.mala mjinga,.mala amelaaniwa si.ni same na anavofanya mange, Nyani haoni kundule, wanajifanya wasafi hapa kwenye comment kumkemea na wao wanafanya the same thing.

Shida wanajua huyo Mange atawaandika huko siku koja so wagu wanajihami App yake.ifungwe ili waendelee kua safe na ujinga wao

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
ndio nashangaa hapa , watu kurefusha shingo kumsema, sasa wanatofauti gani na mange? wanachofanya hapa kusema mala hana akili,.mala mjinga,.mala amelaaniwa si.ni same na anavofanya mange, Nyani haoni kundule, wanajifanya wasafi hapa kwenye comment kumkemea na wao wanafanya the same thing. Shida wanajua huyo.mange atawaandika huko siku koja so wagu wanajihami App yake.ifungwe ili waendelee kua safe na ujinga wao

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app

Kwani ukoo wako wewe unapotokea mko wote decent au kila mtu ana madhambi yake??....why unampa Mange cheo cha Mungu kuwahukumu wanaokosa????
 
Story zake za kuungaunga tu

Ila wabongo walivyo mazwazwa anawapata

Ova
Ukweli usemwe, 85% ya habari zake ni kweli wala hatungi, hadi siku akiandika habari ambayo unaijua 100% ndio utaamini, it happened, i was once like you nilikua sijawahi kumkubali hata mala moja, ila m alindika something ambacho hadi.lwo huwa najiuliza who told her about that na sijui ila was true 100% japo najua someone withing those few people who knew lazima alisema mahali na huko alikosema wakamfikishia Mange, so she is right mala.nyingi tu, sababu hagungi story.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Kwani ukoo wako wewe unapotokea mko wote decent au kila mtu ana madhambi yake??....why unampa Mange cheo cha Mungu kuwahukumu wanaokosa????
Sio kuhukumu, hata Millard Ayo mmbea, sema amebase kwenye aina flani za habari tu na mange amebase kwenye udaku.

Sijawahi ona kama kamubukumu mtu, yeye hiandika kitu yu ajua na opinion zake, mbona wengi tu wanatoa habari za udaku, wagu wanaogopa mange sababu anabase kubwa ya followers na anajua kuandika article ambayo itashawishi watu wengi.in a second.

Watu watulie kama wanaogopa kuandika ila sio kukaa hapa kulaani kama wao ni malaika.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni Ke au Me?
Acheni kuwa bully watu ambao hao hao mnaona wanabully wengine na mnawasema, that makes you the same, mko hapa kupiga makelele mala kalaaniwa mala sjui mpuuzi mala sjui anavunja sheria,

Kesho tena mtakuja hapa hapa kukemea serikali kufungia vyombo vya habari, hamueleweki mwataka nini Watanzania, kujifanya maadili, maadili gani wengi wenu wahuni wahuni mmejaa humu walevi wazinzi, wenye roho mbaya, wauaji, ila mkisemwa huko kwa Mange mnakuja huku kujifanya manahasira.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom