Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Habari zake za kuungaunga
Tu
Anasikia na kusoma kwa watu anaungaunga
Labda umbeaumbea, hivi mtu mkenge akili timamu unaweza mfatilia Huyo

Ova
 

Kumuweka mtu kachepuka sio kumuhukumu kwa hicho kitendo?

Kwa nini unampa madaraka ya kuhukumu ?

Kumfananisha Millard na Mange ni ujinga, hawafanani hata kidogo,kwanza afadhali hata angekua mtu mwingine,Mange ni Bully anajulikana, je na Millard nae ni bully??? ana past history ya ku bully watu????.....
 
Habari zake za kuungaunga
Tu
Anasikia na kusoma kwa watu anaungaunga
Labda umbeaumbea, hivi mtu mkenge akili timamu unaweza mfatilia Huyo

Ova
Wala haungi habari, she has Masters degree anajua anachokifanya, habari anapelekewa, anazifanyia uchambuzi anazitoa, sometimes yes anakosea na hua anasema kama akithibitisha habari si ya kweli hata huiondoa kabisa na kuifuta.

Watu wakiacha kumpatia habari wala hatokua na habari za kupost ila wabongo wamejaa kule kwake wanampa na evidence

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Wewe nawe unakuwa mjinga huelewi hoja.

Hoja si habari kuwa kweli ama la. maana hata ya prof jay ni kweli [emoji817] shida ni kuingilia faragha za watu. Hilo ndo kosa.

Mfano alivyopost kibamia cha le mutuz ni kweli lakini ni violation ya haki ya faragha ambapo ingekuwa marekani angeshadhibitiwa siku nyingi
 
Diplomasia itatumika arudishwe bongo, serikali watacheza na sheria za kimataifa,
Hapo ndo itakuwa imekula kwake mazima

Marekani hawawezi kumrudisha kwani kwa vigezo vya kwao hajatenda kosa!!
 
Salsa ukimaliza kutetea ujinga, nenda kamsaidie kuwatoa vijana wake kule central. Kwenye ujinga lazima usemwe kaka/Dada.
 
Hmna lolote

Aendele tu na umbea umbea wabongo si

Mnapenda

Ova
 
Sasa mbona analeta kiburi aisee..ngoja wenzie wamuoneshe ya kwamba kiburi dawa yake jeuri..ila kuna mambo Tz yanatia kinyaa aisee unakuta mtu mzima kalipia App eti aone jinsi watu wanavyochafuliwa..ushamba wa mjini ni mzigo sana aisee
Kwa kifupi mi nipo ohio, nikisema TISS wanipe ushirikiano huyu bwege ameisha, japo ntaingia matatizonni potelea mbali..ntaishi tu vizuru tu jela za huku.

Pro jay ni wa kunyumba whatever it is..lazima nimsimamie.
 
Hujui lolote, ni bora ukae kimya tu.
 
Kwa kifupi mi nipo ohio, nikisema TISS wanipe ushirikiano huyu bwege ameisha, japo ntaingia matatizonni potelea mbali..ntaishi tu vizuru tu jela za huku.

Pro jay ni wa kunyumba whatever it is..lazima nimsimamie.
TISS huwa hawadeal na watu wapuuzi kama hawa..sio threat kwa taifa ni vile tu ni chizi,Hapo OHIO upo mji gani?
 
Watu waongelee hilo sasa, pia kwa example ya lemutuz, kumbuka walikua na ugomvi and you canmot choose silaha soft ya kumpigia adui, you take the one which hurts the most.

Hata hiyo ya prof J, still haikua iwe big deal like how you guys preaching here. Picha za watu kulazwa ICU mbona ziko nyingi hata watu hupost za ndugu zao ili watu wamuombee mgonjwa, how comes iwe big deal?

Angekua amepost video ya mgonjwa hajavaa nguo ingemake sense, ama angeandika madharau kwa mgonjwa hapo sawa, ila video tu watu.mnang'aka kama ameua, mnazidiwa bwana sio kweli.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…