Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Ukweli usemwe, 85% ya habari zake ni kweli wala hatungi, hadi siku akiandika habari ambayo unaijua 100% ndio utaamini, it happened, i was once like you nilikua sijawahi kumkubali hata mala moja, ila.m alindika something ambacho hadi.lwo huwa najiuliza who told her about that na sijui ila was true 100% japo najua someone withing those few people who knew lazima alisema mahali na huko alikosema wakamfikishia Mange, so she is right mala.nyingi tu, sababu hagungi story.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Habari zake za kuungaunga
Tu
Anasikia na kusoma kwa watu anaungaunga
Labda umbeaumbea, hivi mtu mkenge akili timamu unaweza mfatilia Huyo

Ova
 
Sio.kuhukumu, hata Millard Ayo mmbea, sema amebase kwenye aina flani za habari tu na mange amebase.kwenye udaku, sijawahi ona kama kamubukumu mtu, yeye hiandika kitu yu ajua na opinion zake, mbona wengi tu wanatoa habari za udaku, wagu wanaogopa.mange sababu anabase kubwa ya followers na anajua kuandika article ambayo itashawishi watu wengi.in a second. Watu watulie kama wanaogopa kuandika ila.sio.kukaa hapa kulaani kama wao ni malaika.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app

Kumuweka mtu kachepuka sio kumuhukumu kwa hicho kitendo?

Kwa nini unampa madaraka ya kuhukumu ?

Kumfananisha Millard na Mange ni ujinga, hawafanani hata kidogo,kwanza afadhali hata angekua mtu mwingine,Mange ni Bully anajulikana, je na Millard nae ni bully??? ana past history ya ku bully watu????.....
 
Habari zake za kuungaunga
Tu
Anasikia na kusoma kwa watu anaungaunga
Labda umbeaumbea, hivi mtu mkenge akili timamu unaweza mfatilia Huyo

Ova
Wala haungi habari, she has Masters degree anajua anachokifanya, habari anapelekewa, anazifanyia uchambuzi anazitoa, sometimes yes anakosea na hua anasema kama akithibitisha habari si ya kweli hata huiondoa kabisa na kuifuta.

Watu wakiacha kumpatia habari wala hatokua na habari za kupost ila wabongo wamejaa kule kwake wanampa na evidence

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Ukweli usemwe, 85% ya habari zake ni kweli wala hatungi, hadi siku akiandika habari ambayo unaijua 100% ndio utaamini, it happened, i was once like you nilikua sijawahi kumkubali hata mala moja, ila.m alindika something ambacho hadi.lwo huwa najiuliza who told her about that na sijui ila was true 100% japo najua someone withing those few people who knew lazima alisema mahali na huko alikosema wakamfikishia Mange, so she is right mala.nyingi tu, sababu hagungi story.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Wewe nawe unakuwa mjinga huelewi hoja.

Hoja si habari kuwa kweli ama la. maana hata ya prof jay ni kweli [emoji817] shida ni kuingilia faragha za watu. Hilo ndo kosa.

Mfano alivyopost kibamia cha le mutuz ni kweli lakini ni violation ya haki ya faragha ambapo ingekuwa marekani angeshadhibitiwa siku nyingi
 
wala haungi habari, she has Masters degree anajua anachokifanya, habari anapelekewa, anazifanyia uchambuzi anazitoa, sometimes yes anakosea na hua anasema kama akithibitisha habari si ya kweli hata huiondoa kabisa na kuifuta. Watu wakiacha kumpatia habari wala hatokua na habari za kupost ila wabongo wamejaa kule kwake wanampa na evidence

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Salsa ukimaliza kutetea ujinga, nenda kamsaidie kuwatoa vijana wake kule central. Kwenye ujinga lazima usemwe kaka/Dada.
 
wala haungi habari, she has Masters degree anajua anachokifanya, habari anapelekewa, anazifanyia uchambuzi anazitoa, sometimes yes anakosea na hua anasema kama akithibitisha habari si ya kweli hata huiondoa kabisa na kuifuta. Watu wakiacha kumpatia habari wala hatokua na habari za kupost ila wabongo wamejaa kule kwake wanampa na evidence

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Hmna lolote

Aendele tu na umbea umbea wabongo si

Mnapenda

Ova
 
Sasa mbona analeta kiburi aisee..ngoja wenzie wamuoneshe ya kwamba kiburi dawa yake jeuri..ila kuna mambo Tz yanatia kinyaa aisee unakuta mtu mzima kalipia App eti aone jinsi watu wanavyochafuliwa..ushamba wa mjini ni mzigo sana aisee
Kwa kifupi mi nipo ohio, nikisema TISS wanipe ushirikiano huyu bwege ameisha, japo ntaingia matatizonni potelea mbali..ntaishi tu vizuru tu jela za huku.

Pro jay ni wa kunyumba whatever it is..lazima nimsimamie.
 
wala haungi habari, she has Masters degree anajua anachokifanya, habari anapelekewa, anazifanyia uchambuzi anazitoa, sometimes yes anakosea na hua anasema kama akithibitisha habari si ya kweli hata huiondoa kabisa na kuifuta. Watu wakiacha kumpatia habari wala hatokua na habari za kupost ila wabongo wamejaa kule kwake wanampa na evidence

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Hujui lolote, ni bora ukae kimya tu.
 
Kwa kifupi mi nipo ohio, nikisema TISS wanipe ushirikiano huyu bwege ameisha, japo ntaingia matatizonni potelea mbali..ntaishi tu vizuru tu jela za huku.

Pro jay ni wa kunyumba whatever it is..lazima nimsimamie.
TISS huwa hawadeal na watu wapuuzi kama hawa..sio threat kwa taifa ni vile tu ni chizi,Hapo OHIO upo mji gani?
 
Wewe nawe unakuwa mjinga huelewi hoja. Hoja si habari kuwa kweli ama la. maana hata ya prof jay ni kweli [emoji817] shida ni kuingilia faragha za watu. Hilo ndo kosa. Mfano alivyopost kibamia cha le mutuz ni kweli lakini ni violation ya haki ya faragha ambapo ingekuwa marekani angeshadhibitiwa siku nyingi
Watu waongelee hilo sasa, pia kwa example ya lemutuz, kumbuka walikua na ugomvi and you canmot choose silaha soft ya kumpigia adui, you take the one which hurts the most.

Hata hiyo ya prof J, still haikua iwe big deal like how you guys preaching here. Picha za watu kulazwa ICU mbona ziko nyingi hata watu hupost za ndugu zao ili watu wamuombee mgonjwa, how comes iwe big deal?

Angekua amepost video ya mgonjwa hajavaa nguo ingemake sense, ama angeandika madharau kwa mgonjwa hapo sawa, ila video tu watu.mnang'aka kama ameua, mnazidiwa bwana sio kweli.

Back
Top Bottom