Hakuwa kiongozi wa chadema? Maana ukiwa chadema wewe ni malaika kama LemaJeshi la Polisi Kanda Maalum limeua mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Kilambo Nyasairo, mkazi wa Chanika kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi
#MwananchiUpdates
Nalipongeza sana jeshi la polisi kwa kumpora haraka silaha huyu jambazi
Moro pale darajani umesahau?Wezi wa kwenye treni wale wakuiba mizigo
Tabora kulikuwa na watu wa kazi hasa
[emoji23][emoji23]
Ova
Hivi vita vya madawa si kama vya majambazi. Akili kubwa sana inahitajika maana watengenezaji wake wana nguvu za dola za kidunia, wafanyabiashara wake wana nguvu za dola za kimataifa, ukikaa vibaya unaishia kukamata dagaa tu. China pamoja na kunyonga wasafirishaji bado watu wanapitisha.siamini kama kuna kina kirefu kuliko cha serikali?
wauza madawa ya kulevya ni majambazi hatari sana.....tuwafichue wote.
ndo imeshindikana sasa.ile tani 1,ilikuwaje ikaripotiwa gm 500!?siamini kama kuna kina kirefu kuliko cha serikali?
wauza madawa ya kulevya ni majambazi hatari sana.....tuwafichue wote.
Unataka kusema Chanika, wakazi wake ni majambazi?
Risasi ya mguu😄😄😄😄😄
Miseyo pale kuna wezi majambaz huwa wana mwaga mafuta njiani..ukipita speed lazima uingie chakaMoro pale darajani umesahau?
Unafikiri majambaz ni wengi polisi wakiamua kuwatuliza siku 4 tu wanapoteaHivi vita vya madawa si kama vya majambazi. Akili kubwa sana inahitajika maana watengenezaji wake wana nguvu za dola za kidunia, wafanyabiashara wake wana nguvu za dola za kimataifa, ukikaa vibaya unaishia kukamata dagaa tu. China pamoja na kunyonga wasafirishaji bado watu wanapitisha.
Wezi wa kwenye treni wale wakuiba mizigo
Tabora kulikuwa na watu wa kazi hasa
[emoji23][emoji23]
Ova
CHIGUMBI RIPMimi tokea wauawe Wale Wafanyabiashara wa Madini kutoka Morogoro kuanzia hapo sishabikii tena nisikiapo kuwa Polisi wameua Majambazi sugu.
Chigumbi RIP
Kwahiyo unakubaliana na polisi kuwa viongozi wakuu wa CHADEMA ndo walimuua Akwelina?wale siku zote hulala upande wa kuichafua serikali na nchi yetu kwa kivuli cha uhuru wa vyombo vya habari
Moro pale darajani umesahau?
Majambazi si wengi na Wakishasikia wanauwawa wanatulia.Unafikiri majambaz ni wengi polisi wakiamua kuwatuliza siku 4 tu wanapotea
Ova
Ni kweliMikoa Tanzania inayoongoza kwa kuzalisha majambazi Tabora ilisababishwa na makambi ya wakimbizi wa burundi ambao waliingia na silaha za moto wakawaambukiza wenyeji, udokozi wa kwenye treni tabora iliongoza hadi uvinza na nguruka na hadi leo wadokozi tabora stand wengi mno, Mbeya ina idadi kubwa ya majambazi hata ukifika keko wahuni wengi watu wa Mbeya, Mara ni kama mbeya wao hasa tarime waliathiriwa na mipaka yao ya nchi jirani hivo wakaanza umafia mapema, Arusha Na Moshi hawa walianzia kwenye dili za magendo ya kenya, plus mrungi mixer kuvamia wachimbaji wengine kujifanya wanaapolo kumbe majambazi yaliokubuhu, ukimaliza hapo mikoa mingine mchele mchele tu na kigoma kwa mbali majambazi huingia kutokea Burundi na kutema magari na uvamizi lakini wanashirikiana na wenyeji
Nili cmnt khsu hiyo tabora watu wanafikiria nafanya utani humuMikoa Tanzania inayoongoza kwa kuzalisha majambazi Tabora ilisababishwa na makambi ya wakimbizi wa burundi ambao waliingia na silaha za moto wakawaambukiza wenyeji, udokozi wa kwenye treni tabora iliongoza hadi uvinza na nguruka na hadi leo wadokozi tabora stand wengi mno, Mbeya ina idadi kubwa ya majambazi hata ukifika keko wahuni wengi watu wa Mbeya, Mara ni kama mbeya wao hasa tarime waliathiriwa na mipaka yao ya nchi jirani hivo wakaanza umafia mapema, Arusha Na Moshi hawa walianzia kwenye dili za magendo ya kenya, plus mrungi mixer kuvamia wachimbaji wengine kujifanya wanaapolo kumbe majambazi yaliokubuhu, ukimaliza hapo mikoa mingine mchele mchele tu na kigoma kwa mbali majambazi huingia kutokea Burundi na kutema magari na uvamizi lakini wanashirikiana na wenyeji
Mmmm hapo tena ila warugulu kwa kwa makini wakovizuriMorogoro wao ni utapeli, Unga, na kuzamia kwenda south na ulaya, waluguru sio makatili wao wanajua majungu, fitna na uchawi labda na jando na unyago na ngono zembe
Kwamba unawajua si bure utakuwa mmoja wao maana hata kwenye mada za madawa upo vizuri kwenye ufafanuzi wauza madawa wote wa Dar unawajua.Unafikiri majambaz ni wengi polisi wakiamua kuwatuliza siku 4 tu wanapotea
Ova
Hahaha mm sijawahi hata dhulumu mzeeKwamba unawajua si bure utakuwa mmoja wao maana hata kwenye mada za madawa upo vizuri kwenye ufafanuzi wauza madawa wote wa Dar unawajua.
Safi Sana,
Bila shaka JAMBAZI atakua amefariki kwa majeraha akielekea hospitali kupatiwa matibabu
Mmmm hapo tena ila warugulu kwa mauno wakovizuri