kitabu cha samweli aya gani inaruhusu albadir?Aisee hiyo kitu ipo kabisa na Mola huwa anasikia!
Nimeshuhudia watu wakianguka
Mtu mwenye ukaribu na Mwenye Enzi Mungu sio wa kuchezea
Soma kitabu cha Samueli
Wacha uzamani kijana kuwa na fikra huru.shekhe yuko sahihi sana tena sana maana huyu mama alizidi aise kutuchafulia hali ya hewa mtandaoni.sifikirii na sidhani kama mange atadhurika
jambo la aibu sana kiongozi wa dini kumtamkia mfuasi ukomo kisa mna personal interest alitakiwa amsahihishe tu na kumsaidia kimawazo lakini suala la ukomo wa mtu hilo ni jambo la Mungu tena
Hatari Sana mkuu,Mungu atuepushe kwakweliHii misemo mingine sio ya kupuuzia kwa kweli!
Si unakumbuka kesi ya kina Nyaga Mawala na wanawake wa kimasai?
Ehh Maulana Mola wangu tunusuru walahi!
Hawa ma shekhe ukisikia mambo walio yafanya lazima umhurumie huyo Mange lakini Tusubiri Muda Tu
Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Mussa Salim hivi sasa anazungumza na waandishi wa vyombo vya habari kuhusiana na kuhusishwa na kampeni zinazoendelea katika Jimbo la Kinondoni.
=====
Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Mussa Alhadi ameelezea picha inayosambaa kwenye mitandao inayomuhusisha yeye kufanya kampeni ambayo yumo yeye na pembeni kuna mgombea wa CCM jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia akila chakula pamoja na wenzake wa CCM ni ya uongo.
Amesema picha ilipigwa akiwa kwenye maziko ya Sheikh Masoud Ismail, amesema yeye ni kiongozi na mtu yeyote anaweza kupiga picha na yeye.
Amedai Mange Kimambi amekuwa akitukana viongozi mbalimbali kwenye Instagram na kusema pia alimtukana mufti wa Tanzania baada ya kuipongeza serikali na Rais John Magufuli.
Sheikh Alhadi amesema ametukanwa kwa dhulma na uadui na kudai Mange anautumia ulimi na mikono yake vibaya kudhulumu watu(Heshima zao).
Alhadi amesisitiza huu ni mwaka wa mwisho kwa Mange na baada ya mwaka huu hatamtukana mtu yeyote kwa kutumia ulimi au mkono wake kwa sababu amejihalalishia mwenye maangamizi kwa mkono wake. Amesema atamshtaki kwenye mahakama ya Mbinguni.
Angejikita kuiombea dua ccm ishinde kinondoni ingekuwa La maana zaidi kuliko kumjibu mdada wa Insta.ILA huyu mkuu wa dini ni CCM haswa. Tunamfahamu sana hata baadhi ya Waislamu huwa hawamkubali kabisa kwa kuegemea kwenye siasa za CCM.
sijasema naamini katika mlengo huo aisee mimi ni free thinkerHakuna kitu kinaitwa albadil.... Ujinga mtupu
mjomba ukibishana na mpumbavu na wewe utakuwa hivyo hivyo sheikh angetumia busara zake kama kiongozi wa dini kuonyesha mfano kama kiongozi wa dini kwa wafuasi wakeWacha uzamani kijana kuwa na fikra huru.shekhe yuko sahihi sana tena sana maana huyu mama alizidi aise kutuchafulia hali ya hewa mtandaoni.
Alipashwa amuombee kwa mwenyezi Mungu amrejeshe kwenye mstari na sio kumlaani,
Mtume alipigwa mawe na akawaombea waliompiga Mungu awasamehe, Yesu pia aliwaombea wakosaji wasamehewe
Na zile za kigoma na sumbawanga si dini yao inarihusu ama?Duh !
Na pia mlengwa awe na kosa la ukweli na haki
vyovyote vile... ndio maana kila mtu ana pata wasaa wa kumuomba yeye, hata kama ni mla rushwa, au nyongaji, muuaji... ndivyo inavyo kuwa... jiulize kwanini mapadre wanao najisi watoto mungu hawa angamizi hapo hapo...Na ukisimamia kwenye haki!
kama anayo hiyo insta acc..Anamjibu Mange, angetumia Instagram tu asiwachoshe wanahabari
Haya mambo yapo mkuu. Nashangaa kuna mijitu inabeza humu. Ukizunguka katika mikoa ya nchi hii ndio utakapokuwa na nidhamu/heshima kwa vitu na mali za watu.Kila mchuma janga hula na nduguze,juzi tumemzika jamaa kwa dhulma ya wizi...kaenda kuvamia kwa ndugu zetu wakigoma nao wakajibu mapigo Mara baada ya kutangaza kwa siku tatu mfululizo.RIP frank jembe langu.
Mtumishi Wa mungu anamtisha mtu badala kumwombea abadilike jamani au ni Mtumishi Wa ccm