DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

sifikirii na sidhani kama mange atadhurika

jambo la aibu sana kiongozi wa dini kumtamkia mfuasi ukomo kisa mna personal interest alitakiwa amsahihishe tu na kumsaidia kimawazo lakini suala la ukomo wa mtu hilo ni jambo la Mungu tena
Kabisa mkuu
 
Kwani amesema atakufa au kasema kutukana mwisho mwaka huu?

Kwani mange akiacha kutukana ni vibaya sana? Kwanini tunataka aendelee kutukana viongozi wa dini?
Rudia kusoma alichosema,
 
Baada ya mwaka mmoja akiendelea na matusi yake Shehe wa Dar es salaam utafanyaje?
 
Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Al Haji Mussa Salimu amjibu mwanadada maarufu mtandaoni Mange Kimambi asema huu ndo mwaka wake wa mwisho kutumia mdomo wake kuwatukana watu haswa viongozi. [HASHTAG]#KwanzaHabari[/HASHTAG]
anamtisha nani sasa. Mungu nae anaangalia kama huyo mange anaongea la ukweli au uzushi.asidhani Mungu ni wake peke yake
 
sasa mtu ukimwambia uko ccm mtapigana sana. ccm huyo bundi mliyenaye atawaponza
 
"Death may be the greatest of all human blessings"
SOCRATES
 
Time will tell,ila mange mwaka huu ndio mwisho.
 
Mungu wa hivyo hayupo labda ibilis shetani Mungu anasema kisasi ni chake na hukumu ni yake iweje wewe utukanwe umuhukumu mwenzio je wewe umekamilika?mbona yesu alitukanwa alatemewa mate hakumuomba baba yake awasamehe kwakuwa hawajuwi walitendalo
 
Ndo hapo sasa kaka,lkn kuna Muda viongozi wa sasa was dini wanafanya Mungu adhihakiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…