DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

sifikirii na sidhani kama mange atadhurika

jambo la aibu sana kiongozi wa dini kumtamkia mfuasi ukomo kisa mna personal interest alitakiwa amsahihishe tu na kumsaidia kimawazo lakini suala la ukomo wa mtu hilo ni jambo la Mungu tena
Kabisa mkuu
 
Kwani amesema atakufa au kasema kutukana mwisho mwaka huu?

Kwani mange akiacha kutukana ni vibaya sana? Kwanini tunataka aendelee kutukana viongozi wa dini?
Rudia kusoma alichosema,
 
Baada ya mwaka mmoja akiendelea na matusi yake Shehe wa Dar es salaam utafanyaje?
 
Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Al Haji Mussa Salimu amjibu mwanadada maarufu mtandaoni Mange Kimambi asema huu ndo mwaka wake wa mwisho kutumia mdomo wake kuwatukana watu haswa viongozi. [HASHTAG]#KwanzaHabari[/HASHTAG]
anamtisha nani sasa. Mungu nae anaangalia kama huyo mange anaongea la ukweli au uzushi.asidhani Mungu ni wake peke yake
 
sasa mtu ukimwambia uko ccm mtapigana sana. ccm huyo bundi mliyenaye atawaponza
 
Mark my word, hata yule mchawi alisema hivyo hivyo wakaenda wakaroga, hahaha, ikala kwake, sasa absent, na Tz inasonga mbele. Usicheze na Mungu wewe mnafiki. Bado si unaone yule eupe kaenda kuomba msamaha, hahaha na bado lazima mjisalimishe wote nyie wanafiki wakubwa. Hahaha, siku hiyo kila kiumbe atafurahi maana shetani akiangamia huwa furaha tele
"Death may be the greatest of all human blessings"
SOCRATES
 
Time will tell,ila mange mwaka huu ndio mwisho.
 
Mungu wa hivyo hayupo labda ibilis shetani Mungu anasema kisasi ni chake na hukumu ni yake iweje wewe utukanwe umuhukumu mwenzio je wewe umekamilika?mbona yesu alitukanwa alatemewa mate hakumuomba baba yake awasamehe kwakuwa hawajuwi walitendalo
 
Ndio maana inafika mahali tunahoji Dogma za dini zingine. Kama issue ni matusi ya Mange kwa watu hajaanza Leo kutukana. Kwa nini huyo Sheikh hajawahi kumuomba Mungu "amupumuzishe" huyo Mange kwa matusi kwa watu wengine mbalimbali? Kwa hiyo,Sheikh anataka kutueleza kuwa Mungu "anaumwa" sana na matusi kwa Masheikh na Wachungaji kuliko raia Wa kawaida? Ina maana ndio kusema "masikio" ya Mungu yanapokea frequencies tofauti tofauti za matusi?
Ndo hapo sasa kaka,lkn kuna Muda viongozi wa sasa was dini wanafanya Mungu adhihakiwe
 
Back
Top Bottom