yeddy guyy
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 627
- 489
ni kweli mkuuUKIMYA NAO NI JIBU TOSHA
tafakari;ukimya ni jibu tosha kwa [HASHTAG]#mpumbavu[/HASHTAG]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli mkuuUKIMYA NAO NI JIBU TOSHA
Dhulma wizi uzinzi vyote vibaya zio dhulma tu.Believe me
Tafuta kisa cha kina Henri Nyiti!
Dhuluma ni mbaya sana!
Hapo chachaNa yeye mwisho wake ni lini?
Uuuuwwwiiiiiii ngachekaHahahahhaaha uwiii
Kabisa mkuusifikirii na sidhani kama mange atadhurika
jambo la aibu sana kiongozi wa dini kumtamkia mfuasi ukomo kisa mna personal interest alitakiwa amsahihishe tu na kumsaidia kimawazo lakini suala la ukomo wa mtu hilo ni jambo la Mungu tena
Huwezi logeka kama we si mshirikina,Hapo hakuna cha albadir labda amroge
Rudia kusoma alichosema,Kwani amesema atakufa au kasema kutukana mwisho mwaka huu?
Kwani mange akiacha kutukana ni vibaya sana? Kwanini tunataka aendelee kutukana viongozi wa dini?
anamtisha nani sasa. Mungu nae anaangalia kama huyo mange anaongea la ukweli au uzushi.asidhani Mungu ni wake peke yakeShekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Al Haji Mussa Salimu amjibu mwanadada maarufu mtandaoni Mange Kimambi asema huu ndo mwaka wake wa mwisho kutumia mdomo wake kuwatukana watu haswa viongozi. [HASHTAG]#KwanzaHabari[/HASHTAG]
"Death may be the greatest of all human blessings"Mark my word, hata yule mchawi alisema hivyo hivyo wakaenda wakaroga, hahaha, ikala kwake, sasa absent, na Tz inasonga mbele. Usicheze na Mungu wewe mnafiki. Bado si unaone yule eupe kaenda kuomba msamaha, hahaha na bado lazima mjisalimishe wote nyie wanafiki wakubwa. Hahaha, siku hiyo kila kiumbe atafurahi maana shetani akiangamia huwa furaha tele
Ndo hapo sasa kaka,lkn kuna Muda viongozi wa sasa was dini wanafanya Mungu adhihakiweNdio maana inafika mahali tunahoji Dogma za dini zingine. Kama issue ni matusi ya Mange kwa watu hajaanza Leo kutukana. Kwa nini huyo Sheikh hajawahi kumuomba Mungu "amupumuzishe" huyo Mange kwa matusi kwa watu wengine mbalimbali? Kwa hiyo,Sheikh anataka kutueleza kuwa Mungu "anaumwa" sana na matusi kwa Masheikh na Wachungaji kuliko raia Wa kawaida? Ina maana ndio kusema "masikio" ya Mungu yanapokea frequencies tofauti tofauti za matusi?