Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022

Dah! Tumetoka kwenye mashule kuungua sasa mambo yamehamia kwenye masoko..kesho sijui itakuwa soko la wapi.
 
Ni upande wa pili wa barabara karibu na kiwanja cha mpira cha Karume wanako uza mabegi kikosi cha Zima moto kimewasili mapema eneo la tukio kikishirikiana na kampuni binafsi ya GUARDA WORLD moto wameuzidi nguvu
 
Hapo mtaambiwa ni Vita ya Ukraine na Russia ndio imesababisha haya. Ni Kama ripoti ya hile ya kinyesi Cha ng'ombe na mikojo Kule Mara.
 
Hii mioto hadi raha sasa.. Utafikiri inaambizana leo tukachome wapi!

Bila kuwa na mipango mkakati makini hii mioto itaendelea na itakuwa business as usual mpaka pale itakapomaliza huki na kupiga kule kwenye chembe ya moyo..!
 
Hapo vyombo vya ulinzi na usalama tu vyote viwajibishwe tu.
 
Poleni wahanga wote.

Ukiona anayelia sana hapo ujue halilii tu pesa na mali inayoungua, wapo wanaoweka imani zao pia.
 
Kama wanalitaka hilo eneo si wakae nao chini wakubaliane kwamba pajengwe complex hapo halafu chini watapewa vitalu vya biashara
 
Ni
Soko la mabegi si ndio hapohapo wanauza viatu, na nguo nyingine mbona umeleta habari ya soko lamabegi tu RIRO
Ni upande wa pili tofauti na ule ulioungua mwezi wa january ambao ulikuwa ukiuzwa nguo na viatu
 
Kinachoendelea Tz tumuombe Mungu tu wanataka kutengeneza tofauti kubwa ya mtajiri na maskini ifike wkt chochote anachosem tajiri unaitika ili uishi wamefeli kwenye chanjo hyo ni njama mupewe mikopo kwa sharti la chanjo dunia hii Rip Magu
 
Safi sana,wakome kuishobokea CCM.Piga kiberiti hao mbwa!
 
lengo lilikuwa ni kuwaondoa tu wale waliifinya sana barabara
 
K
Please my president Samia, rudisha vikosi vyote vya uookaji including Fire Brigade kwa local government's, kila Halmashauri iwe na kikosi chake cha uookaji na ondoa uaskari kwenye vikosi hivi, hii itaongeza ufanisi wa huduma hizi
Kwani samia yupo Jf??
 
Vijana wanjinyima wanapata rizki bado wanachomewa moto mitaji yao, mnataka wawe majambazi?

Wana familia, wana watoto, wana ndugu na jamaa wanawategemea.

Hii nchi ipo siku vijana uvumilivu utawaisha.
Nani amewachomea moto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…