Dar: Soko la Mbagala laungua moto

Dar: Soko la Mbagala laungua moto

Kuna kitu kama taifa tunapitia, lakini hatujui ninini.
Ashukuriwe Mungu tutavuka salama ingawa majereha na makovu hayatakosekana.
 
Kama chanzo cha moto kwenye masoko mengi wote tunajua ni either uzembe wa wapishi ndani ya soko kuzima moto,kuunganisha umeme kihuni, uvutaji sigara na bangi ndani ya soko
Jinsi ya kuzuia
Jenga masoko high standard ili hizi kero zisiwepo ila ubaya hakuna ataekubali sasa
Ni Uzembe wa watumishi wa Manispaa na serekali ya Wilaya kwa kushindwa kuwapanga na kuandaa mazingira rafiki ya kukabiliana na athari za moto, kwa nini tunazunguka!? Njoo soko LA Tegeta nyuki kila kitu Hovyo, wanasubiri Moto utokee ili waunde Tume! Shame, Shame!! Aibu!! Sasa haya makusanyo ya Mambao mabovu ndio wanaita soko, DC husika njoo ujionee
 
Mwanzo ulisema ni issue ya kujengwa vibaya, sasa hivi unasema kuzidiwa. Kariakoo ndani mule kunazidiwaje?
Una structure ambayo haiingizi pesa nyingi,sasa utaiachaje hivyo hivyo?

Screenshot_20220209-202136.png
 
Na huu umeme wa kisela haya matukio ni kawaida...
 
Tunafukuza wamachinga
Kwenda wapi, uchingani au wapi, kwani chinga ni wanywa kahawa, je ni wanywa kandoro, je uchingani wapo mbu wengi, ili tuuze dawa ya mbu, je chinga ni Wala miwa wazuri tukawauzie miwa, je uchingani Kuna standi ya kimataifa tukapige debe, je uchingani Kuna kiwanda Cha vyonbo vya ndani tukawauzie wateja wetu, he mitumba inafika uchingani tukawauzie watu🏃.Kwa nanna hiyo titabanana hapa hapa.
 
Kwani kuanzisha vituo vya fire ni sh ngapi?
Kama tumeweza kumtibia Jobo Ndugai kwa mahela chungu mbovu tunashindwa kununua magari ya fire?
Kama tumeweza kujenga uwanja wa kunguru chato tunashindwa kununua vi fuso vinne vya fire?
 
Back
Top Bottom