Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa mateja haoSoko la Rangitatu jimbo la Mbagala lawako moto usiku huu wa kuamkia leo.
View attachment 2117914View attachment 2117915View attachment 2117917
View attachment 2117944
Menyewe sijaona, labda kama wanefurushwa na maji washawasha, wakaona waneunguzwa na moto🤔
Hao wateja Sasa noma😃Itakuwa mateja hao
Unasemaaa🤸.Yaani Makala yupo serious sana na mipango miji.
Hakuna namna. Ni moto tu
Ni Uzembe wa watumishi wa Manispaa na serekali ya Wilaya kwa kushindwa kuwapanga na kuandaa mazingira rafiki ya kukabiliana na athari za moto, kwa nini tunazunguka!? Njoo soko LA Tegeta nyuki kila kitu Hovyo, wanasubiri Moto utokee ili waunde Tume! Shame, Shame!! Aibu!! Sasa haya makusanyo ya Mambao mabovu ndio wanaita soko, DC husika njoo ujioneeKama chanzo cha moto kwenye masoko mengi wote tunajua ni either uzembe wa wapishi ndani ya soko kuzima moto,kuunganisha umeme kihuni, uvutaji sigara na bangi ndani ya soko
Jinsi ya kuzuia
Jenga masoko high standard ili hizi kero zisiwepo ila ubaya hakuna ataekubali sasa
Mwanzo ulisema ni issue ya kujengwa vibaya, sasa hivi unasema kuzidiwa. Kariakoo ndani mule kunazidiwaje?Ilizidiwa na mlikuwa hamtaki kuondoka
Una structure ambayo haiingizi pesa nyingi,sasa utaiachaje hivyo hivyo?Mwanzo ulisema ni issue ya kujengwa vibaya, sasa hivi unasema kuzidiwa. Kariakoo ndani mule kunazidiwaje?
Vyuku vipi?Mbagala rangi tatu, naskia mkuu wa wilaya kaenda kusema na wauza kuku.. Soko limeungua katikati tu maduka nje hayaguswa na moto
Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Kwanini sio timu badlyck&co pamoja na timu chukua chako mapema.TEAM GAIDI WACHUNGUZWE HAKUNA NAMNA!
Tunafukuza wamachingaSoko la Rangitatu jimbo la Mbagala lawako moto usiku huu wa kuamkia leo.
View attachment 2117914View attachment 2117915View attachment 2117917
View attachment 2117944
Kwenda wapi, uchingani au wapi, kwani chinga ni wanywa kahawa, je ni wanywa kandoro, je uchingani wapo mbu wengi, ili tuuze dawa ya mbu, je chinga ni Wala miwa wazuri tukawauzie miwa, je uchingani Kuna standi ya kimataifa tukapige debe, je uchingani Kuna kiwanda Cha vyonbo vya ndani tukawauzie wateja wetu, he mitumba inafika uchingani tukawauzie watu🏃.Kwa nanna hiyo titabanana hapa hapa.Tunafukuza wamachinga
Kwa hiyo chinga sii watu, kwani hawalali masokoni kulinda mali zao🤔🤔Afadhali sasa, kuliko wale wakichoma shule na kuua watoto wadogo
Nimesema afadhali, kwa sababu watu wazima wanaweza kukimbia, vitoto vya shule lazima vitakufa japo viwiliKwa hiyo chinga sii watu, kwani hawalali masokoni kulinda mali zao🤔🤔