Hakika, kigamboni ikifunguka, ni moja ya maeneo yaliyopangika vizuri, asilimia kubwa imepimwa, Ina beach nzuri sana.Ni jambo jema
Vyovyote vile, the end justifies the means...orrr the means justifies the endAmeshusha tu au pia amefidia hilo pengo lililoachwa ? Hizo fedha zinazokusanywa zilikuwa na kazi maalumu nafikiri, sasa kama anaondoa ni lazima afidie hilo pengo kule kwingine, vinginevyo ni ujinga tu!
Vyovyote vile, the end justifies the means...orrr the means justifies the end
Mna Nongwa nyie waswahel mamamamamaniiinaaa. Sibiu mfanyiwe ninAmeshusha tu au pia amefidia hilo pengo lililoachwa ? Hizo fedha zinazokusanywa zilikuwa na kazi maalumu nafikiri, sasa kama anaondoa ni lazima afidie hilo pengo kule kwingine, vinginevyo ni ujinga tu!
Naomba kujua BEI ya Petrol pale Zanzibar, Njoo DSM, niambie SIRARI mpakani inasomekaje Bei Kwa sasa, mtumishi hasifiwi Kwa kutimiza wajibu wake Kwa wananchi ambao ndio WAAJIRI wa viongozi. AmenRais Samia Suluhu na Mbunge Faustine Ndugulile wamevunja kikwazo kigumu kabisa Cha maendeleo ya kigamboni...
Kiongozi daraja lilijengwa kwa pesa ya mkopo toka NSSF nadhani marejesho yanarizisha ndomana Mother ameamua kupunguza tozoHakuna cha vyovyote vile, walioweka hiyo tozo hawakuwa wajinga, walikuwa wanakusanya fedha ili ifanye kazi fulani sasa ukiindoa ni lazima uifidie ili wasikwazike, vinginevyo haumsaidii yoyote kwani hilo daraja ni lazima litunzwe na kufanyiwa matengenezo pia!
Kafanye utafiti, ukitaka kutafuniwa utatafuniwa vingiNaomba kujua BEI ya Petrol pale Zanzibar, Njoo DSM, niambie SIRARI mpakani inasomekaje Bei Kwa sasa, mtumishi hasifiwi Kwa kutimiza wajibu wake Kwa wananchi ambao ndio WAAJIRI wa viongozi. Amen
Nazijua sana! Msijisifie kufuta mia Tano Kigamboni pekee, wakati Nchi nzima tozo ziko Palepale, Bei za petrol IMPACT yake ni kubwa inagusa Kila kitu. Msibweteke kaz Bado kubwa.Kafanye utafiti, ukitaka kutafuniwa utatafuniwa vingi