Dar: Tozo za Daraja la Nyerere Kigamboni zimeshuka

Dar: Tozo za Daraja la Nyerere Kigamboni zimeshuka

Hakuna cha vyovyote vile, walioweka hiyo tozo hawakuwa wajinga, walikuwa wanakusanya fedha ili ifanye kazi fulani sasa ukiindoa ni lazima uifidie ili wasikwazike, vinginevyo haumsaidii yoyote kwani hilo daraja ni lazima litunzwe na kufanyiwa matengenezo pia!
Una nongwa kama mama mgumba!!
 
Naomba kujua BEI ya Petrol pale Zanzibar, Njoo DSM, niambie SIRARI mpakani inasomekaje Bei Kwa sasa, mtumishi hasifiwi Kwa kutimiza wajibu wake Kwa wananchi ambao ndio WAAJIRI wa viongozi. Amen
Una GUBU wewe daaah
 
Hakuna cha vyovyote vile, walioweka hiyo tozo hawakuwa wajinga, walikuwa wanakusanya fedha ili ifanye kazi fulani sasa ukiindoa ni lazima uifidie ili wasikwazike, vinginevyo haumsaidii yoyote kwani hilo daraja ni lazima litunzwe na kufanyiwa matengenezo pia!
Gubu
 
Uwepo wa hizi tozo unathibitisha hii miundombinu huwa haijengwi kwa fedha za kodi za watanzania, huwa inajengwa kwa fedha za mikopo, na hiyo mikopo ndio inarudishwa kwa kuweka tozo kwa watumiaji wa hiyo miundombinu.

Mikopo hiyo hutoka NSSF, NHIF, nk.

So zile kelele za fao la kujitoa, chanzo chake huwa ni hiyo mikopo na namna ya kuirudisha.
 
Leo umetoa comment ya kiutu uzima kwa kara ya kwanza tangu ujiunge na JF. Hongera
 
Uwepo wa hizi tozo unathibitisha hii miundombinu huwa haijengwi kwa fedha za kodi za watanzania, huwa inajengwa kwa fedha za mikopo, na hiyo mikopo ndio inarudishwa kwa kuweka tozo kwa watumiaji wa hiyo miundombinu.

Mikopo hiyo hutoka NSSF, NHIF, nk.

So zile kelele za fao la kujitoa, chanzo chake huwa ni hiyo mikopo na namna ya kuirudisha.
Hiyo ndiyo mifumo ya namna ya kukuza miundombinu kwa nchi zenye uchumi mdogo.

Daraja la Kigamboni kimejengwa kwa fedha za mfuko wa akiba ya wafanyakazi wa NSSF kwa mtindo wa Build, Operate and Transfer. Hizo siyo fedha zenu bali za wafanyakazi na wanazihitaji kwenye mafao yao.

Subirini mpaka wamalize kukusanya fedha walizotimia kujenga labda mwaka 2040 ndipo muanze kupita bure
 
Tatizo sio tozo tatizo ni sehemu bure na sehemu zingine pesa, barabara zote tunazotembelea tunalipa kwenye mafuta kila unaponunua wala sio jambo baya, shida kwanini hili liwe na kulipia na lile la Tanzanite bure?

Hapa ndipo wanakosea madaraja yote yale yanayokuwa afueni kwa maana luxury kwa kuwa una option upite njia za kawaida na short cut kama lile la Tanzanite lilitakiwa liwe la kulipia sababu ziko option gharama inatakiwa iwe ndogo tu. nchi zote duniani mara nyingi kuna Toll fees.

Hoja tunajenga kwa kodi zetu kwanini tutozwe haina mashiko, hata parking tunalipia, ukienda airport unalipia hata barabara zetu tunalipia. Kwangu mimi daraja la Kigamboni kulipiwa sawa ila tozo zilitakiwa ziwe ndogo sana tena sana kwa kuwa huu ni mradi wa maisha na lile la Tanzanite lingelipiwa pia huwezi kutoza huku ukaacha huku baya zaidi uwezo wa watu kigamboni na Masaki ni tofauti. Tozo ziwepo ila sio kwa bei hizi.
 
Tatizo sio tozo tatizo ni sehemu bure na sehemu zingine pesa, barabara zote tunazotembelea tunalipa kwenye mafuta kila unaponunua wala sio jambo baya, shida kwanini hili liwe na kulipia na lile la Tanzanite bure? hapa ndipo wanakosea madaraja yote yale yanayokuwa afueni kwa maana luxury kwa kuwa una option upite njia za kawaida na short cut kama lile la Tanzanite lilitakiwa liwe la kulipia sababu ziko option gharama inatakiwa iwe ndogo tu. nchi zote duniani mara nyingi kuna Toll fees. Hoja tunajenga kwa kodi zetu kwanini tutozwe haina mashiko, hata parking tunalipia, ukienda airport unalipia hata barabara zetu tunalipia. Kwangu mimi daraja la Kigamboni kulipiwa sawa ila tozo zilitakiwa ziwe ndogo sana tena sana kwa kuwa huu ni mradi wa maisha na lile la Tanzanite lingelipiwa pia huwezi kutoza huku ukaacha huku baya zaidi uwezo wa watu kigamboni na Masaki ni tofauti. Tozo ziwepo ila sio kwa bei hizi.
Unatumia nguvu nyingi kwa kitu ambacho hukijui. Tafuta taarifa kwanza za source of financing ya kila mradi ndiyo uje ujenge hoja hapa.

Project ya Kigamboni iko funded na NSSF under PPP kwa mfumo wa Sanidi, Jenga, Endesha na Kabidhi au Design, Build, Operate and Transfer. NSSF ilitumia fedha za wastaafu ambazo lazima zirudi.

Tanzanite Bridge ni Grant toka South Korea
 
Na lile ferry la nani PPF? kwani unadhani hilo sijui kama kuna pesa ya pension. Ni jukumu la serikali kulipa NSSF sio raia, raia watailipa serikali kwa kuweka tozo dogo kwa maisha ya mradi serikali itarudisha lakini NSSF sio wa kutoa huduma kwa wananchi daraja ni jukumu la serikali kama walivyojenga madaraja mengine mpaka huko Mwanza wanajenga sasa Kigamboni kosa lao nini?
 
Una GUBU wewe daaah
Kuleta ahueni Kwa WANANCHI Serikali inatakiwa kupitia tozo za VIVUKO vyote nchini, na Bandari. Kwa kufanya hivyo italeta nafuu Kwa Nchi nzima, Msisubiri Eti mpaka mbunge alalamike miaka kumi ndo mtimize.

KATIBA mpya itupe MFUMO mzuri wa kuangalia Kodi na tozo kandamizi ziweze kirekebishwa. AMEN.
 
Back
Top Bottom