Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AfadhaliWamemwachia bila masharti. Umesikia hiyo?
Jana nimemsikia akihojiwa, kwamba binafsi atakuwepo kwenye maandamano leo kwa kuwa hana mshipa wa woga, kumbe mbinu yake ilikuwa kuomba hifadhi kwa mabwana zake!. 🤔Hamna moto wewe Bavicha si unaona badala ya kwenda kuongoza maandamano anakimbilia ubalozi. 😁😁😁😁
OKProffessorial rubbish
Kwa nini wamemwachia?Ndio
mkuu kwa wakati huu bado kuna baadhi yetu wanashiba. utafika muda kila mtu ana njaa but it will be too late. acha washangilie shida za wengine ila utafika muda yanakufika. Katili na dikteta hana rafiki wa kudumu.Hivi mwananchi wa kawaida anaposhangilia udhalimu kama huu, huwa anafaidika na nini hasa?!
Hivi mtu na akili zako kweli unaweza kushangilia udhalimu dhidi ya binadamu just for political reason?!
Oh, nimekumbuka! Kumbe wapo wale walioshangilia hata alivyopigwa risasi na kutamani eti angekufa kabisa!!
Mungu samehe kizazi hiki kisichojielewa manake kama maadui wa kweli wa taifa basi hawa ndio maadui namba, wanaoweka mbele maslahi ya kisiasa kuliko kitu kingine chochote kile!!
Nadhani ni kutokana na hali yake.Kwa nini wamemwachia?
Waziri mkuu Mbowe.We ni bonge la k
Kiongozi wetu sidhani kama naweza kuheshimu Sheria za kimataifa kuhusu ubalozi hasa ukizingatia washauri wenyewe ni wale wa kujipendekeza kwake aina ya akina Kabudi.Hicho ndio walichokuwa wanataka na Polisi wameingia mkenge na mnamkamata nje ya ubalozi!
Sawa afande, uzalendo daima au sio!. Tumia misingi na maneno uliyosema kwenye kiapo chako kutizama yanayoendelea halafu jitafakari... I will keep this in my Vaults for future reference. "Being proud..[emoji57]"Its not about bragging is about being proud.
I'm proud of my country.
Vijana wanatakiwa waseme "they are proud of their country".
Wameshamwachia, tena bila masharti!Hicho ndio walichokuwa wanataka na Polisi wameingia mkenge na mnamkamata nje ya ubalozi!
Kwani Queen naye ni mpinzani? Wewe kichwa chako kitakuwa na kamasi siyo bure!Vyombo vya usalama huwa wanafanya kazi masaa 24. Kama kuna njama mbaya walikuwa wanafanya mnataka wasikamatwe?
Mbona Queen Sendiga hajakamatwa?
Sana sana wanatengeneza mazingira mazuri yakuibuka insurgents.Hii siyo approach nzuri ya kuishi na wapinzani. Upinzani haufi kwa style hii.
Ushanywea .Ndio
Mkuu, afadhali maana siku yangu ilitaka kuharibika vibaya, nanukuu maneno yako, Lissu anaogopwaWameshamwachia, tena bila masharti!
Hawakuwa na sababu ya kumkamata.Nadhani ni kutokana na hali yake.
Pia walitaka kufahamu kwaini alikimbilia ubalozini wakati huohuo aandaa maandamano.