Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uanzishe maandamano then ukimbilie ubalozini kweli ni sawa?, Sasa wewe mwananchi andamana then tuone kama utakimbilia kwa balozi wako wa nyumba kumi.
Au unadhani utakimbilia UK Au Germany?

ACHANA NA MAANDAMANO, WATANZANIA TUMESHA AMUA.
 
Hamna moto wewe Bavicha si unaona badala ya kwenda kuongoza maandamano anakimbilia ubalozi. 😁😁😁😁
Jana nimemsikia akihojiwa, kwamba binafsi atakuwepo kwenye maandamano leo kwa kuwa hana mshipa wa woga, kumbe mbinu yake ilikuwa kuomba hifadhi kwa mabwana zake!. 🤔
 
Sijajua ajenda ya upinzani ni nini; kuitisha maandamano yasiyofuata shera na kuomba hifadhi kwenye balozi za nje, lengo la maandamano linakuwa ni nini iwapo viongozi wa maandamano hayo wamehifahdiwa balozi za nje? Mwanasheria anatakaiwa ajue kuwa sheria ya maandamano nchini Tanzania huhitaji kibali cha polisi. Kwa nini ahimize watu kuvunja sheria hiyo wakati yeye anatafuta hifadhi? Amsterdam ndiye aliyemtuma kufanya hivyo?
 
Hivi mwananchi wa kawaida anaposhangilia udhalimu kama huu, huwa anafaidika na nini hasa?!

Hivi mtu na akili zako kweli unaweza kushangilia udhalimu dhidi ya binadamu just for political reason?!

Oh, nimekumbuka! Kumbe wapo wale walioshangilia hata alivyopigwa risasi na kutamani eti angekufa kabisa!!

Mungu samehe kizazi hiki kisichojielewa manake kama maadui wa kweli wa taifa basi hawa ndio maadui namba, wanaoweka mbele maslahi ya kisiasa kuliko kitu kingine chochote kile!!
mkuu kwa wakati huu bado kuna baadhi yetu wanashiba. utafika muda kila mtu ana njaa but it will be too late. acha washangilie shida za wengine ila utafika muda yanakufika. Katili na dikteta hana rafiki wa kudumu.
 
We ni bonge la k
Waziri mkuu Mbowe.
Waziri wa michezo Sugu.
Waziri wa sheria na katiba Zito.
Waziri wa wanawake jinsia na watoto Mdee.
Waziri wa ulinzi John Heche.
haya nambie,hawa mawaziri wataapishwa lini[emoji23]
 
Hicho ndio walichokuwa wanataka na Polisi wameingia mkenge na mnamkamata nje ya ubalozi!
Kiongozi wetu sidhani kama naweza kuheshimu Sheria za kimataifa kuhusu ubalozi hasa ukizingatia washauri wenyewe ni wale wa kujipendekeza kwake aina ya akina Kabudi.

Watu kama Balozi Mahiga (Marehemu) ndio wanajua thamani ya diplomasia ya Kimataifa.

Vyovyote itakavyokuwa tutakao umia ni sisi wananchi wa kawaida.
 
Its not about bragging is about being proud.

I'm proud of my country.

Vijana wanatakiwa waseme "they are proud of their country".
Sawa afande, uzalendo daima au sio!. Tumia misingi na maneno uliyosema kwenye kiapo chako kutizama yanayoendelea halafu jitafakari... I will keep this in my Vaults for future reference. "Being proud..[emoji57]"
 
Back
Top Bottom