citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Ramli ya mandondo au Zegenza?ALERT
π CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
- Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC....
Mku hata Mashinji na Dr Slaa waliandaliwa press ss kama ccm tulifaidika na niniALERT
[emoji117] CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa
- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
- Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
- Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
- Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
- Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
- Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
- Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
Dogo acha lamri chonganishi!!ALERT
π CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa
- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
- Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
- Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
- Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
- Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
- Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
- Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
kwa sasa hawa watu ni wa kuwaonea huruma tu. kama ndugu zao au hata Chadema wenye mawasiliano nao wasaidie kuwaokoa. maana ni kama mateka wanaelekezwa tu nini cha kufanyaBusara za kawaida zinamtaka Mdee na genge lake kwa sasa wachutame wasubiri muda kidogo upite then wawaombe msamaha Chadema na Watanzania kwa ujumla kwa ujinga na upuuzi waliofanyishwa na Job.
Otherwise-wategemee anguko kubwa sana na la fedheha mbele yao. By the way-Job na genge lake wanawatumia kwa sasa baadae kidogo watawatelekeza kwa fedheha sana.
God bless the dead.
Let's Pray and May God Bless us!Busara za kawaida zinamtaka Mdee na genge lake kwa sasa wachutame wasubiri muda kidogo upite then wawaombe msamaha Chadema na Watanzania kwa ujumla kwa ujinga na upuuzi waliofanyishwa na Job.
Otherwise-wategemee anguko kubwa sana na la fedheha mbele yao. By the way-Job na genge lake wanawatumia kwa sasa baadae kidogo watawatelekeza kwa fedheha sana.
God bless the dead.
Tutafurahi kuwasikia ili tujue ni Kwa namna gani wamefanywa Kama mifuko ya ramboALERT
π CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa
- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
- Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
- Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
- Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
- Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
- Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
- Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
Na mimiHauna imani nao wewe na nani? mmeo?
Mabilioni ya huyu mwamba yamewatoa akili CCM kabisaaaaaALERT
[emoji117] CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa
- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
- Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
- Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
- Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
- Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
- Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
- Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
Hivi mbona kila mpango unaoandaliwa na CCM huwa unagonga ukuta na mwisho wanalazimisha ushindi kwa mabavu?
Ni upungufu wa watu wenye akili au ina viongozi wasio akili na wanawalazimisha wenye akili kufuata yao?
2 Mambo ya Nyakati 18:19-21ALERT
[emoji117] CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa
- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
- Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
- Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
- Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
- Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
- Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
- Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
CDM mkiacha hiz siasa zamatukio na ngonjera mngekua mbali,mkifamanya mazuri mnasema mna taasisi imara ila mambo yakienda kombo mnasema serikali na Ccm inahusika kuwahujumu. Hiv hamuwez ku solve matatizo yenu bila kuihusisha serikali?ALERT
π CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa
- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
- Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
- Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
- Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
- Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
- Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
- Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
Msuguano ndani ya CCM upo sana na soon utauona hadharani. Hili la kina Mdee tu huwezi kukuta mawazo ya Mangula ndani yake.
Kwa hiyo Esther ni demu wa Halima ,yaani wanasagana?No 2. Yeye kama aiikuwa mwenyekiti wa bawacha asema kamati kuu iikaa ikapitisha hayo majina iini. Hakuwa na uwezo wa kuandaa iist na kupeeka tume, mwenye jukumu hioyo ni KATIBU MKUU. Swaa a mademu wa mbowe haina tija yeye mbona anaye Ester hatusemi, siyo hoja hiyo, wmeshindwa basi. Siyo mwanachama wetu tena.