Dar: Waliomuua Wayne Derek Lotter wahukumiwa kunyongwa

Dar: Waliomuua Wayne Derek Lotter wahukumiwa kunyongwa

Hawawezi kunyongwa.marais wanaogopa kutia saini
Mzee hujui maana ya "kula njama" aliefyatua risasi ni mmoja lakini njama ya kunuia na mpango mzima ulipangwa na watu 11. Kwa iyo wote lazima wapigwe kitanzi wafe kwenye kamba na wanye mavi. Ukinyongwa kwa kamba mpaka "unye".
 
Hii kesi mpaka apatikane Mtu anayeitwa fahame karama inasadikika yeye ndio injinia wa hii kitu.... wengi ushahidi wa kimazingira unawatia hatiani
Obama ni kweli Hii kesi inawahusu wengi ambao wamefanya njama ya kuwabambikisa watu wasiohusika. Hii kesi wanaohusika ni mawaziri, vigogo wa idara ya wanyama pori, na wachina wakiongozwa na yule Malkia wa ujangili wa meno ya tembo ambaye alishikwa akahukumiwa jela, lakini sasa alitolewa kisirisiri na yuko Hong Kong. Hii kesi ilianza Mwigule alipokuwa waziri wa mambo ya ndani na anaijua vizuri na hata hao walio bambikizwa
 
Mzee hujui maana ya "kula njama" aliefyatua risasi ni mmoja lakini njama ya kunuia na mpango mzima ulipangwa na watu 11. Kwa iyo wote lazima wapigwe kitanzi wafe kwenye kamba na wanye mavi. Ukinyongwa kwa kamba mpaka "unye".
Tanzania hasn't carried out an execution in decades.

Why?

Execution penalty requires President's signature.

Since the reign of Ally Hassan Mwinyi, no president has ever done so.
 
Mzee hujui maana ya "kula njama" aliefyatua risasi ni mmoja lakini njama ya kunuia na mpango mzima ulipangwa na watu 11. Kwa iyo wote lazima wapigwe kitanzi wafe kwenye kamba na wanye mavi. Ukinyongwa kwa kamba mpaka "unye".

1st CONSPIRACY TO MURDER contrary to Section 215 of the Penal Code, Cap.16 [R. E. 2002] for all accused persons;

2nd MURDER contrary to Sections 196 and 197 of the Penal Code Cap.16 [R. E. 2002] for all accused persons and,

3rd, ACCESSORY AFTER THE FACT TO MURDER contrary to Section 213 of the Penal Code, Cap. 16 [R. E. 2002] for the 15th, 16th ,17th and 18th accused persons.

It is alleged that on diversdates between 1st July, 2017 and 16th August, 2017 while at various places within the United Republic of Tanzania particularly in the City and Region of Dar es Salaam and within the City and Region of Arusha, jointly and together the above accused persons conspired to commit Murder.

Their intention was to eliminate WAYNE DEREK LOTTER a South African National who had NGO in Tanzania known as PAMS FOUNDATION dealing with the Protection of Wildlife and assisting the Government of Tanzania in the fight against poaching and poachers.

After all the preliminary proceedings have been finalized, this special session commenced on 11th March 2022. I as preceding Judge, I sat with two Gentlemen Assessors Mr. Selemani Sijaona and Mr. Salehe Chautundu; together with a Lady Assessor, Ms. Sophia Isike respectively as required by law..... 4Assessors, Mr. Selemani Sijaona had to drop from the proceedings due to illness. So up to the closure of the Prosecution case I remained with only two Assessors.

The Prosecution team was led by Mr. Yamico Mlekano PSA assisted by Mr. Hemedi Halidi SSA, Mr. Fadhili Mwandoloma SSA, Ms. Lilian Rwetabura SSA, Mr. Haruna Shomari SA, Ms. Imelda Mushi SA, Ms. Ellen Masululi SA, Mr. Philbert Mashurano SA, and Mr. Joseph Mwakasege SA.

While Defence was led by Advocate Majura Magafu for 10th, 11th, 12th, and 14th accused persons. Others are Advocate Mluge Karoli Fabian, for 1st, 2nd, 5th, 15th, 16th, 17th, and 18th accused persons, Advocate Roman Selasini Lamwai for 3rd and 13th accused persons, Advocate Abdulai Abdulaziz for 4th accused, Advocate Augustino Shiofor 6th accused, Advocate Herman Gervasf or 7th accused, and Advocate Modesta Medard for the 8th and 9th accused persons.

At this juncture,I wish to express my sincere appreciation and gratitude toall the Assessors who were involved in this matter for their generous attention, devotionand respective attendance throughout the proceedings.

The same applies to Mr. Ally Ndakeye the Interpreter whom we have involved him in these proceedings from the very beginning of the trial to this end. His professional services have assisted the court to see that the 3rd and 13th accused ....... circumstances based on the Prosecution’s evidence which can convict the accused. Prosecution in proving their case against the accused persons herein, brought before the Court thirty two (32) witnesses and also tendered forty three exhibits to prove the charges against the accused persons herein.

Further, at this stage, I have to point out that, as this case concerns the Murder of one WAYNE DEREK LOTTER, then this court at this juncture is indeed satisfied that the latter is a deceased as supported by Exh. P1 which is the Report on Post Mortem Examination of Wayne Derek Lotter dated 19th August 2017.

I want to assure all of you that I have carefully perused the evidence presented by the Prosecution witnesses and the exhibits tendered; and I have no doubt that taken together with what I have discussed above on the application of the concept of no case to answer, I am now in a position to table my findings at this necessary stage of the case to each and every accused as herein below in a serially manner as they appear in this case.

The first accused in this case is KHALID ALMAS MWINYI @ BANYATA. Despite the fact that he is the first in the list, the only evidence which was tendered before the court and touched him direct was tendered by the last witness in the Prosecution witnesses list, PW32-BF. This witness testified before the court that ......

Coming to the 3rd accused, one NDUIMANA OGISTE @ JONAS ZEBEDAYO @ MCHUNGAJI @ NDAYISHEMIZE ZEBEDE @ NDAISHIME ZEBEDAYO @ OMARI HASSAN, the Prosecution’s evidence before the court purports that he is the person who pulled the trigger which took the life of Wayne Derek Lotter. The main evidence being two eye witnesses who are alleged to be at the scene of crime, being PW10 -AJ who managed to identify the 3rd accused to be at the scene of crime and who pulled the trigger, but .........

READ MORE : Source : Republic vs. Khalid Almas Mwinyi @ Banyata & 17 Others (Criminal Session Case 13 of 2021) [2022] TZHC 13051 (20 September 2022); | Tanzlii
 
Nasikia huyu jamaa ni mafia wa kichina ndio waliinjinia mauaji yake maana wao ndio biashara yao. Ya kweli hayo?

Ni ukweli sio pingika, Hiyo Mafia ya kichina inajulikana sana, hata Enzi ya Kikwete walijaribu kupakia ndege ya kiongozi wa china Meno ya Tembo, ambayo yalikamatwa na mambo yakazimwa ili kufunika kashfa hiyo, Huyo kiongozi wa kichina alikasirishwa sana na jambo hili, na akaitaka serekali yetu ichukue hatua kali kwa wahusika. Lakini Rushwa iliishinda kauli hiyo.

Kitu cha kusikitisha kuna watu 4 kati ya hao 11 hawahisiki kabisa na ni kesi ya kubambikizwa, na kati ya hao walioachiwa huru kuna 4 wanahusika vizuri sana.

Hii kesi inafaa kuchunguzwa vizuri, kwanza hao watu wamekaa Rumande zaidi ya miaka 5.
 
Kama wanajua kuwa kuna injinia wa hiyo kitu kwann hawakueataja mahakamani, hivi wewe unaweza kukubali kunyongwa na ukamuacha aliyesababisha wewe uingie hatiani anadunda uaraiani
Kuna kesi lukuki police ambazo zinasubiri watuhumiwa.

Hivi ukisikia mtu kabambikiwa kesi unaelewa nn?
Mtu unafungwa kwa ushahidi hata wa kutengeneza lakini kiuhalisia mtuhumiwa hajuwi chochote kuhusiana na tukio zima.
 
Kama wanajua kuwa kuna injinia wa hiyo kitu kwann hawakueataja mahakamani, hivi wewe unaweza kukubali kunyongwa na ukamuacha aliyesababisha wewe uingie hatiani anadunda uaraiani
Nani kakuambia bongo ukiwa na pesa unafungwa???
 
Bora ubaki kifungo Cha maisha
Umeua unataka kwenda kwa Mungu ukafanye Nini na midhambi yako.si Bora ubaki utubu
Hata kama hawatanyongwa lakini kupiga tako 3000 ndy basi tena..

Si Bora unyongwe tu yaishe?
 
Kama wanajua kuwa kuna injinia wa hiyo kitu kwann hawakueataja mahakamani, hivi wewe unaweza kukubali kunyongwa na ukamuacha aliyesababisha wewe uingie hatiani anadunda uaraiani
Ismail machipsi na makoi wameangukiwa na jumba bovu. Hawa watu hawawezi kula njama hata ya kuuwa mende.

Makoi mda wote yupo Arusha kwenye duka lake la dawa anauza.
 
Tanzania hasn't carried out an execution in decades.

Why?

Execution penalty requires President's signature.

Since the reign of Ally Hassan Mwinyi, no president has ever done so.
Kwani sheria imefutwa?
Pia wewe una uhakika gani kwamba watu hawanyongwi nchi hii?
Usiamini kila unachosikia kwenye nchi hii mzee!
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom