Kumbe Alikuwa Na Majukumu Yake Kimya KimyaHuyo jamaa tukikua tunamuheshim sana hapa mtaana kumbe hafai kabisa...yan wala hatukutegemea kama anafanya hizi kazi
dah acha tu jamaa kapanga nyumba nzima kumbe ndan hamna kitu anaitumia kama stoo tu ya kuweka mizigo mamaeeKumbe Alikuwa Na Majukumu Yake Kimya Kimya
Anajenga, Anabadili Cars, Nje Ya Tanzania Kama Kawaida
Haadah acha tu jamaa kapanga nyumba nzima kumbe ndan hamna kitu anaitumia kama stoo tu ya kuweka mizigo mamaee
Ardhi yenye rutuba na mito inayotiririka maji majira yote ya mwaka vyote buree! Kenya nao wasemeje ambako unazaliwa na kukulia kwenye ardhi ya Kukodi?Nigeria ndo nchi inayoongoza kua na idadi kubwa ya watu. Wapo 190,000,000. Wasomi wengi Ajira hamna imewalazimu wajiongeze. Watanzania tupo 60,000,000 tu lakini soko la ajira hali ni tete. Na sisi tunaelekea huko huko.
Sent From Galaxy S9
duh!!..huyo alistair mbele sijui ni tamaa au kitu gani.
hakuwa wa kujiingiza kwenye biashara hii haramu maana kama elimu anayo na pesa ya kula na ya kuvimbia mjini pia alikuwa nayo. licha ya hivyo mshua wake ambae kwa sasa ni marehemu alikuwa ni senior academician wa chuo kikuu.
Hata wewe unaweza kufanywa teja. Unaenda hotelini unaagiza chakula, unaletewa, mhudumu anakuja na jagi na bakuli anakunawisha mikono, unaanza kula, ukimaliza. Anakuja tena anakunawisha mikono, anakupa na tishu ukaushe mikono, anakuongeza nyingine ukaushe midomo. Tambua, tishu zote unazopewa anakuwa ameshazipakaa madawa ya kulevya.mwanao alikuwa ana umri chini ya 18?kama mwanao ni > 18 basi ameharibika kwa upumbavu wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Daisy mbele au sio?Nimeshituka sana,huyo mdogo wangu nikiwa Dar tulikuwa tunacheza naye kikapu ARU pale. Namsikitikia dada yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenge kabisa hawa!!Alafu hawa tukikutana nao viwanja utawasikia mwanangu kwa mshahara huo unaishije?
Noma saana , hii biashara haiwez koma.Hata wewe unaweza kufanywa teja. Unaenda hotelini unaagiza chakula, unaletewa, mhudumu anakuja na jagi na bakuli anakunawisha mikono, unaanza kula, ukimaliza. Anakuja tena anakunawisha mikono, anakupa na tishu ukaushe mikono, anakuongeza nyingine ukaushe midomo. Tambua, tishu zote unazopewa anakuwa ameshazipakaa madawa ya kulevya.
Unaondoka, kadiri siku zinavyosogea unaanza kuhisi ukila chakula cha hoteli ile, huwa unajisikia vizuri sana, huachi kwenda,
siku moja unaamua kumuuliza mhudumu, chakula chao wanaweka nini, hakwambii, anaishia kutabasamu, anatafuta mbinu za kukuzoea, akishaipata, siku moja anakuletea unga kidogo kwenye pakti, anakwambia nusa, unanusa, unajipata ile raha uliyokuwa unaipata kwa kunusa madawa kwenye tishu bila kujijua inaongezeka maradufu kwakuwa sasa umenusa kitu chenyewe direct, kuanzia hapo, ukifika hotelini, unaagiza chakula na pakti ya madawa, ukirudishiwa chenji, pakti ya madawa inazungushwa kwenye noti za change yako, unasepa, ushakuwa mteja tayari.
China ndo hawataki kuwaona ni kitanzi tu.Ndio maana South Africa hawataki kabisa kuwaona wa-Nigeria kwao.
hii mbinu imewaponza vijana wengi waliokuwa wanapenda kuvuta shisha.Hata wewe unaweza kufanywa teja. Unaenda hotelini unaagiza chakula, unaletewa, mhudumu anakuja na jagi na bakuli anakunawisha mikono, unaanza kula, ukimaliza. Anakuja tena anakunawisha mikono, anakupa na tishu ukaushe mikono, anakuongeza nyingine ukaushe midomo. Tambua, tishu zote unazopewa anakuwa ameshazipakaa madawa ya kulevya.
Unaondoka, kadiri siku zinavyosogea unaanza kuhisi ukila chakula cha hoteli ile, huwa unajisikia vizuri sana, huachi kwenda,
siku moja unaamua kumuuliza mhudumu, chakula chao wanaweka nini, hakwambii, anaishia kutabasamu, anatafuta mbinu za kukuzoea, akishaipata, siku moja anakuletea unga kidogo kwenye pakti, anakwambia nusa, unanusa, unajipata ile raha uliyokuwa unaipata kwa kunusa madawa kwenye tishu bila kujijua inaongezeka maradufu kwakuwa sasa umenusa kitu chenyewe direct, kuanzia hapo, ukifika hotelini, unaagiza chakula na pakti ya madawa, ukirudishiwa chenji, pakti ya madawa inazungushwa kwenye noti za change yako, unasepa, ushakuwa mteja tayari.
JomoniiiiiHongera sana mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya, hongera sana Mh JPM, Hongera sana ndugu Daudi Albert Bashite.
Mwaga nyama ni nani huyu?
Watu kwa umbea jamaniWanadai enzi za Riz1 the Prince yeye alikuwa anacheza tu na Heroine hataki hata cocaine
Hivi baada ya kesi kwisha huo unga huwa unapelekwa wapi...?
Mtoto wa Prof.?dah acha tu jamaa kapanga nyumba nzima kumbe ndan hamna kitu anaitumia kama stoo tu ya kuweka mizigo mamaee
Kuna chama cha siasa Tanzania huwa kinatetea kila aina ya uovu wanaalama ya vidole viwili
Sent using Jamii Forums mobile app