residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Nimeshituka sana,huyo mdogo wangu nikiwa Dar tulikuwa tunacheza naye kikapu ARU pale. Namsikitikia dada yake.Pole sana. Huyo mtoto wa marehemu Prof. Mbele naye anauza ngada
Nimeshangaa dogo mtoto wa Prof anauza ganda ?Inasikitisha.
true.Mkuu usione watu wanavimba hapa mjini ukaona wanapesa nyingi kuna siri kubwa katika pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio yeye huyo, nimechezea naye sana basketball na ku hang nae maeneo ya bata.Huyu mtoto wa marehemu Prof Mbele,si alikuwa anafanya kazi UDSM aliondoka kumbe yupo Aghakani. Mshahara haumtoshi ?Si afanye biashara halali ?Sasa sheria ichukue mkondo wake.
Baba yake alifariki. Ila Alistair anafanya kazi Libraly pesa ya kuendesha maisha haimpigi chenga,sema labda alitaka maisha ya u don.duh!!..huyo alistair mbele sijui ni tamaa au gani.
hakuwa wa kujiingiza kwenye hii biashara haramu maana kama elimu anayo na pesa ya kula na kufanyia mishemishe za kuvimbia mjini pia alikuwa nayo, licha ya hivyo mshua wake ni academician wa chuo kikuu.
Mzigo kama huo bil1. Kadhaa
Mnashindwa nini kuwachukulia hatua ?Wanaigeria bongo wanatutesea watoto wetu
Sawa mkuu na mfahamu jamaa sijui kapata wapi tamaayah, prof mbele.
ila kwa sasa ni marehemu alifariki around february. alikuwa ni mbobezi katika taaluma ya uchumi.
Hawa Naijas ndo watabe wa mambo haramu Africa... .Udukuzi,drug trafficking nk
Atakua ni mtoto wa marehemu pro Amon Mbele ama majina yameingiliana?..
Baba yake alifariki. Ila Alistair anafanya kazi Libraly pesa ya kuendesha maisha haimpigi chenga,sema labda alitaka maisha ya u don.
Atakua Don Segerea. Mpaka atoke lazimanaukwae unyapara. Halafu siku hizi hakuna kupelekeana chakula. Uwe Don, uwe mnaija au mngoni. Wote ugali nyama asubuhi na jioni.Baba yake alifariki. Ila Alistair anafanya kazi Libraly pesa ya kuendesha maisha haimpigi chenga,sema labda alitaka maisha ya u don.
Nimeshangaa dogo mtoto wa Prof anauza ganda ?Inasikitisha.
acha unafikiHuyu mtoto wa marehemu Prof Mbele,si alikuwa anafanya kazi UDSM aliondoka kumbe yupo Aghakani. Mshahara haumtoshi ?Si afanye biashara halali ?Sasa sheria ichukue mkondo wake.
Washitakiwe kwa makosa mawiliKwahiyo huo mzigo ungetunzwa kwenye tank la maji machafu?, dah watu wanacheza na afya za watu sana.
Mkuu tulia,yawezekana ametumiwa tu na system kufikia malengo yakumnasa mtuhumiwa.duh!!..huyo alistair mbele sijui ni tamaa au kitu gani.
hakuwa wa kujiingiza kwenye biashara hii haramu maana kama elimu anayo na pesa ya kula na ya kuvimbia mjini pia alikuwa nayo. licha ya hivyo mshua wake ambae kwa sasa ni marehemu alikuwa ni senior academician wa chuo kikuu.