Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

duh!!..huyo alistair mbele sijui ni tamaa au gani.

hakuwa wa kujiingiza kwenye hii biashara haramu maana kama elimu anayo na pesa ya kula na kufanyia mishemishe za kuvimbia mjini pia alikuwa nayo, licha ya hivyo mshua wake ni academician wa chuo kikuu.
Baba yake alifariki. Ila Alistair anafanya kazi Libraly pesa ya kuendesha maisha haimpigi chenga,sema labda alitaka maisha ya u don.
 
Pesa haijawahi kutosha hata siku moja na kadili unavyopata pesa ndio unavyozidi kupata mzuka wa kupata nyingine na muda mwingine unaweza kufanya, ukajisemea moyoni huu mzigo nikiwin naacha ila hauachi hakuna pesa tamu kama pesa haramu.
Baba yake alifariki. Ila Alistair anafanya kazi Libraly pesa ya kuendesha maisha haimpigi chenga,sema labda alitaka maisha ya u don.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh!!..huyo alistair mbele sijui ni tamaa au kitu gani.

hakuwa wa kujiingiza kwenye biashara hii haramu maana kama elimu anayo na pesa ya kula na ya kuvimbia mjini pia alikuwa nayo. licha ya hivyo mshua wake ambae kwa sasa ni marehemu alikuwa ni senior academician wa chuo kikuu.
Mkuu tulia,yawezekana ametumiwa tu na system kufikia malengo yakumnasa mtuhumiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom