Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

Mkuu usione watu wanavimba hapa mjini ukaona wanapesa nyingi kuna siri kubwa katika pesa
duh!!..huyo alistair mbele sijui ni tamaa au gani.

hakuwa wa kujiingiza kwenye hii biashara haramu maana kama elimu anayo na pesa ya kula na kufanyia mishemishe za kuvimbia mjini pia alikuwa nayo, licha ya hivyo mshua wake ni academician wa chuo kikuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Jamaa White kama Namuonaga Upanga vile mitaa ya Don Bosco...!
 
Aise hao jamaa walikuwa wanalala na bilioni kadhaa hapo. Anyway Hongera bwana Kaji kwa kazi nzuri.

Pole kwa waliokamata maana uthibitisho upo mikononi on spot hapo wasubili kifungo cha maisha jela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inside10,
Huyu mtoto wa marehemu Prof Mbele,si alikuwa anafanya kazi UDSM aliondoka kumbe yupo Aghakani. Mshahara haumtoshi ?Si afanye biashara halali ?Sasa sheria ichukue mkondo wake.
 
Back
Top Bottom