Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,371
Obviously huo mzigo sio wao. Wanamshikia / kumuuzia mtu. Na huyo mtu ana uwezo wa kuukomboa polisi. Hao jamaa wamekua chambo.
Sent From Galaxy S9
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Obviously huo mzigo sio wao. Wanamshikia / kumuuzia mtu. Na huyo mtu ana uwezo wa kuukomboa polisi. Hao jamaa wamekua chambo.
Wanachoma moto,bil.1 inachomwa moto kweupeee bila huruma.Hivi baada ya kesi kwisha huo unga huwa unapelekwa wapi...?
Ndo wanaotupigia kelele hapa!?Alafu hawa tukikutana nao viwanja utawasikia mwanangu kwa mshahara huo unaishije?
duh!!..huyo alistair mbele sijui ni tamaa au gani.
hakuwa wa kujiingiza kwenye hii biashara haramu maana kama elimu anayo na pesa ya kula na kufanyia mishemishe za kuvimbia mjini pia alikuwa nayo, licha ya hivyo mshua wake ni academician wa chuo kikuu.
Na nguvu za giza zilizoshindikanaHawa Naijas ndo watabe wa mambo haramu Africa... .Udukuzi,drug trafficking nk
Vimekufanyaje hivo vidole viwili?Kuna chama cha siasa Tanzania huwa kinatetea kila aina ya uovu wanaalama ya vidole viwili
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanigeria na wachina. Halafu tunawachekea tuWanaigeria bongo wanatutesea watoto wetu
yah, prof mbele.
Nilitaka nikupe pole. Jitahidi uwe unajadili kilichopostiwa ni afya kwako na kwa wengine.J