Dar watu wana roho mbaya sana, nimeamua nikalale stendi kesho nirudi zangu mkoani

We jamaa wa wajabu sana mambo ya bush unaleta mjini wap na wap halafu hii gahawa
Kwani kufikia kwa ndugu ni kosa..??
Sasa kama hawakunichinjia kuku nikubali tu..!!
Kwahiyo nilivyo uza ng'ombe ulitaka nikalale gesti wakati nina ndugu Daslam..??
Alafu nanyie punguzeni roho mbaya kwa kupiga chakula kidogo hata wageni hatushibi...
 
Pole sana mh mjunbe,

Karibu tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…