Dar watu wana roho mbaya sana, nimeamua nikalale stendi kesho nirudi zangu mkoani

Mchana nilipo rudi, nikakuta ugali umepikwa kidogo kama kilo mbili tu, mie nikaula ukaisha na ile mboga nikamaliza yeto hadi mchuzi nikaunywa.

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Hapo umetufunga kamba mkuu yani wapike kilo mbili na bado uone ni kidogo na .... kwa luga nyingine unataka kusema unakula ugali kilo mbili mkuu .... samahqni lakini kwani hilo ni tumbo au
 
Mkuu, kama huko Daslam hamli, basi ngoja tusiwatembelee ili tuwakomeshe...πŸ˜•
 
Kikubwa uwe makini usije ukatunzwe kama yule Diwani[emoji3][emoji3][emoji3]
Diwani nimempa heshma yake...🀣🀣
Yaani miezi mbili amelewa, na alipo onekana akatibiwe...😜😜.... ila Muliro kweli bingwa wa sinema hata zakihindi zikasome...πŸ™Š
 
Diwani nimempa heshma yake...[emoji1787][emoji1787]
Yaani miezi mbili amelewa, na alipo onekana akatibiwe...[emoji12][emoji12].... ila Muliro kweli bingwa wa sinema hata zakihindi zikasome...[emoji87]
"Karibu Tanzania, nchi ambayo mtu anatunzwa kwa miezi 2 bila kuonekana"

Hiki kipande kiunganishwe kwenye royo tuwa ya bi mkubwa[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…