Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu.Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
 
Amina
 
Twitter imeshapigwa pini, ila wapigaji wa kura tunajua ni wapi kura zetu zinakwenda, kuna hatari wale waliojipanga kuiba kura kuzitolea kwenye matundu yale manne.
 
Kuna kila dalili kuwa muda sio mrefu kitanuka hapa Tanganyika packers, muda huu walinzi wa mwamposa wanarumbana na wafuasi wa CHADEMA wakiwazuia wasijikinge mvua kwenye kanisa lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…