Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Niliwatukana hao VoA walioko kwenye simu yako, wewe mwenye simu sio mpumbavu, Ila ni mjinga Kwa kuruhusu upumbavu ufanyike kwenye simu yako
Acha ujinga kura zinapigwa bila upendeleo hata wewe unaweza kwenda kuwapigia ccm
 
Kwa hiyo Lisu akisema tutaruka kwa nguvu yeye rubani? Dar hewa imechafuka kuna mvua na upepo wa kufa MTU halafu mbona kuna majimbo ya wagombea wabunge Dar hajaenda? wanakogombea Dar mfano Suzan Lyimo mbona kawe anarudi Mara mbili wakati hajanadi mgombea ubunge wa ubungo na kinondoni?
 
Hii Hali ya hewa Hapa, inaujumbe mkubwa Sana Kwa kila mwenye mapenzi mema na Taifa letu,

Huyu mgombea kakataliwa duniani na mbinguni pia

Tukampe JPM Kura zote Watanzania
 
Mpaka mida hii hali ya hewa Dar mbaya tena mno hata wavuvi msasani na wa ferry hawaendi na mitumbwi baharini
 
Jamani tujuzeni mliopo uwanjani hapo, Rais hajafika tu??? maana nasikia CCM walishaanza figisu baada ya kuona mambo ni magumu mno kwao.
 
Naona unatamani Sana kusikia Lissu anapata shida au hata kufa. Una asili ya uchawi.
 
Hii Hali ya hewa Hapa, inaujumbe mkubwa Sana Kwa kila mwenye mapenzi mema na Taifa letu,

Huyu mgombea kakataliwa duniani na mbinguni pia

Tukampe JPM Kura zote Watanzania
Takwinu zinaonyesha wazi kwamba Lissu ana ushindi wa asilimia 71 hadi hivi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…